Magaidi wavamia kijiji cha Msolwa Ujamaa, Kilombero

Magaidi wavamia kijiji cha Msolwa Ujamaa, Kilombero

Nemesis

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2008
Posts
5,536
Reaction score
4,533
Hali imezidi kuwa tete Mkoani Morogoro wilaya ya Kilombero. Muda mfupi uliopita umetokea mlipuko mkubwa wa bomu karibu na Ofisi za CCM za kijiji cha Msolwa Ujamaa na kujeruhi watu kadhaa.

Ikumbukwe kuwa hivi karibuni walikamatwa magaidi 9 katika msikiti wa Suni pale Nyandeo (takribani 10km) umbali na Msolwa Ujamaa.

Siku chache tena akakatwa gaidi mmoja aliyeshuka mlimani akihangaika njaa katika eneo la Sumbuguru jirani tu na Msolwa Ujamaa.

Hivi sasa wananchi wameingia mtaani wakiwa na zana za jadi kuwasaka magaidi hao waliokimbilia milima ya Udizungwa. Hii ni baada ya Polisi kutojitokeza licha ya kituo kuwa karibu tu hapo Nyandeo na K1.

Wito Serikali ipeleke jeshi na kikosi maalumu cha uchunguzi. Misikiti yote ya Suni iwe under high scrutiny.

Ofisi ya CCM Msolwa ujamaa ulipotokea mlipuko ipo karibu na msikini wa Suni jirani tu na Kidatu Sekondari.

Illovo upo wapi mkuu. Lete habari kwa kirefu.
 
Faida ya serikali legelege kama hii ya leo madarakani ndiyo kama hivi!!!
 
Acheni longo longo hao nini vibaka tu.....Msilete habari za Magaidi maana BBC, CNN, Al-jazeera wangeshafika eneo la tukio hao ni vibaka tu,,,,,,,kuwa makini na habari zako
 
Taarifa zinasema magaidi hao wamedhamiria kulipua mitambo ya umeme ya Kidatu. Ikumbukwe kwamba Serikali imetumia zaidi ya 2bil kukarabati mitambo hiyo. Umeme wa Kidatu umeunganishwa na ule wa Kihansi na una hudumia sehemu kubwa ya nchi ikiwa ni pamoja na Zanzibar.

Lazima hatua za makusudi zichukuliwe haraka kukomesha tishio hili.
 
Mmmmmmh! Kazi ipo kwa kweli!!!
 
Acheni longo longo hao nini vibaka tu.....Msilete habari za Magaidi maana BBC, CNN, Al-jazeera wangeshafika eneo la tukio hao ni vibaka tu,,,,,,,kuwa makini na habari zako

Kwanini unataka ku play down issue hii? RPC alishasema wamekamata magaidi 9 Nyandeo Kilombero. Taarifa zikatolewa kwamba magaidi hayo yakiwa mikononi mwa dola yakasema tupo wengi tutatimiza azma yetu.

Mtu analipua bomu eneo la watu wengi na kujeruhi wewe una sema ni kibaka? Are you among them?
 
Kuna haja. Kufanya msako wa haja
Napendekeza hiyo kazi apewe kamanda TOSSI
 
Taarifa zinasema magaidi hao wamedhamiria kulipua mitambo ya umeme ya Kidatu. Ikumbukwe kwamba Serikali imetumia zaidi ya 2bil kukarabati mitambo hiyo. Umeme wa Kidatu umeunganishwa na ule wa Kihansi na una hudumia sehemu kubwa ya nchi ikiwa ni pamoja na Zanzibar.

Lazima hatua za makusudi zichukuliwe haraka kukomesha tishio hili.

Taarifa kama hizi sio za kupuuzwa ujue.
 
Tanzania yetu jamani nani tena anakuja kutuondolea amani tuliyozoea! Vyombo husika vichukue hatua haraka sana.
 
Ndugu Wanajukwaa,

Muda sio mrefu kuna tukio la kutisha limetokea hapa kijijiji cha Msolwa ujamaa, Wilaya ya Kilombero. Tukio hilo limefanywa na vijana wawili wadogo ambao wametoweka baada ya kufanya tukio hilo.

Vijana hao walikodisha pikipiki wakitokea Ruaha na wakamwambia dereva wa pikipiki hiyo awapeleke kijiji cha Kisawasawa, wakiwa njiani, dereva wa pikipiki alipata mashaka juu ya vijana hao hivo akawaambia kuwa atawashusha kijiji cha Msolwa ujamaa ili watafute usafiri mwingine kwa vile muda umekwenda na hatakua tayari kwenda mpaka kisawasawa.

Alipofika Msolwa ujamaa akawashusha vijana hao na kumpigia simu mwenyekiti wa kijiji.

Mwenyekiti huyo alianza kuwahoji na kugundua kua ni vijana wageni wasiotambulika maeneo haya, hivyo akaita watu wengine na kuanza kuwahoji zaidi.

Vijana wale walipoona wanaanza kusachiwa, wakakurupuka na kuponyoka, wakafungua bomu la mkono na kulirusha.

Kumetokea majeruhi watano ambao wameumia vibaya.
.
Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio baada ya kupigiwa simu na jamaa yangu hivo nimefika hapa.
 
Magaidi Wavamie vijijini kwa faida ipi. Hizi Zinaweza Kuwa Mambo watu Kupigania Imani yao Kwa Malengo ya Kujitanua ili kupata Kile Wanachokililia kwa Miaka Mingi. Siyo @ madai na Mitafaruku ya Wafia dini wote ni Magaidi.

Nadhani hawa ni Watu Wenye Imani na Msimamo Mkali wa Kiimani; Imani yao kwa sasa Hawasikii na wala Hawaoni Hatari iliyombele yao; Kwa sasa Wanaiona tu Imani yao na Mungu wao, ni Kama vile Kibwetere alivyowafanya kule Uganda.
 
Acha kutisha watu, wamevamia kijiji au ni vibaka wamevamia ofisi ya CCM?

kimbwe;
Umechangia vizuri sana ila usishushe hadhi ya kazi za watu. Vibaka hao walioivamia ofisi ya CCM kwa mabomu ni kuwa kulikuwa na shehena flani ya fweza iliwekwa huko kuja kulipa watu kesho au? Waende tu wakavamie ofisi hiyo bila kasababu kokote, yawezekana??

Tuangalie maneno jamani. Logic ingekuwa kwamba, aliibeba vibaya hiyo kitu, ikamlipukia kwa bahati mbaya tu. Kama wavuvi haram wa baruti zinavyo wakata mikono huyu naye ni vivyo hivyo.

Jamani, haya magaidi yapo, tena wa dini ileee ya suni. Malengo yao ni nini? Ni kieneza dini yao. Sijui wakiisha maliza watu watamwenezea nani? Huyu Mungu wa kusaidiwa hata kuwaonya watu ni kazi kweli kweli. Poleni mlioumizwa na hao fanatics.
 
Back
Top Bottom