Wakae waone kama hawajawa chakula cha simba
Huyu kilaza kapita mara moja tu basi imeshakua nongwa. Kwa sisi wazee wa masafa huwa tunawakuta mara kibao na torch ila hawa kai mbali na gari yao.
Wakae waone kama hawajawa chakula cha simba
Umeibuka mbugani pole.Ila nasikia kuna msomali ni hatari sana kwa kuua tembo na kuiba twiga embu tusaidie ni vipi MUUZA NYUMBA ataweza kumdhibiti nasikia ni bosi wake chamani.Mikumi kuna vibao vya "Elephant Crossing".
![]()
![]()
mkuu angani wapo kibao na wanapiga mabao kama kawa
Ulipita kama abiria au kama dreva?traffic hapo mbugani mbona wapo sana tu,mara nyingi huwa mita mia mbili kutoka hapo kwenye njia kuelekea geti la kuingia mbugani au kilometa moja hadi mbili toka geti la kuingia mbugani kama uelekeo wako ni kutokea iringa utakuta wamepaki kigari chao na kujificha halafu hutokeza ghafla.Wakuu jana nimepita Mikumi naenda Iringa lakini cha ajabu tulipopita katikati ya mbuga ya Mikumi hatukuona Trafic wa aina yoyote si wa kawaida wala wale wapiga tochi na pale magari yanapita spidi ajabu kitu ambacho ni hatari kwa wanyama wetu.
Jamani serikali wekeni trafic wa kutosha pale Mikumi mbugani sawa.
Mikumi kuna vibao vya "Elephant Crossing".
![]()
![]()
Wakuu jana nimepita Mikumi naenda Iringa lakini cha ajabu tulipopita katikati ya mbuga ya Mikumi hatukuona Trafic wa aina yoyote si wa kawaida wala wale wapiga tochi na pale magari yanapita spidi ajabu kitu ambacho ni hatari kwa wanyama wetu.
Jamani serikali wekeni trafic wa kutosha pale Mikumi mbugani sawa.
Wakuu jana nimepita Mikumi naenda Iringa lakini cha ajabu tulipopita katikati ya mbuga ya Mikumi hatukuona Trafic wa aina yoyote si wa kawaida wala wale wapiga tochi na pale magari yanapita spidi ajabu kitu ambacho ni hatari kwa wanyama wetu.
Jamani serikali wekeni trafic wa kutosha pale Mikumi mbugani sawa.
Kuna wakati walikuwapo, na ikaonekana kwamba baadhi yao walitumia mwanya huo kujihusisha na vitendo visivyo halali kama kuwinda wanyama au kusafirisha nyara za serikali kama pembe za ndovu na faru. Yaani mtu mwenye pembe huko porini alikuwa anafanya dili nao wanampeleka na kupaki wakijifanya wanasimamia spidi kumbe wanamsubiri alete nyara, kisha wanazisafirisha kutoka mbugani kwa kutumia gari za polisi.
Mamlaka ya hifadhi ya Mikumi ilipogundua kwamba Polisi walikuwa wanashinda mbugani kwa sababu zao binafsi na sio "usalama" iliwaambia wasifanye kazi zao za kipolisi ndani ya mbuga na kwamba mamlaka ingeweka matuta mengi zaidi ya kuzuia spidi na kwa karibu karibu zaidi ili kudhibiti spidi hasa sehemu ambazo zinajulikana wanyama wanapenda kuvuka barabara.
Hivyo leo hii ukiona polisi ndani ya eneo la Mikumi uwezekano mkubwa ni kwamba wana dili lao wenyewe, kwa sababu Mamlaka ya Hifadhi ilishalikataa suala la polisi kushinda mbugani wakijifanya wanakamata watu wanaondesha kwa spidi ndani ya eneo la mbuga ya Mikumi wakati wanatumia huo mwanya kwa mambo yao ya kificho.
Hata mie nawaunga mkon Mamlaka ya Mikumi. Kama kweli wanataka kudhibiti spidi, uwezo huo Mamlaka wenyewe wanao. Ni suala la kuajiri walinzi (controllers) ambao watakaa pande mbili za kuingilia mbuga. Unahitaji computer na software rahisi sana ambayo unapoanza kuingia eneo la mbuga unapewa ticket, ambao unapotoka mugani utaikabidhi kwenye mlizi wa getini, ambaye atai-scan ticket yako na itaonyesha kwa wastani ulivuka eneo la mbuga kwa muda na spidi gani. Kama average spidi yako ni zaidi ya inayotakiwa basi unalipa fine hapo hapo kutegemea umeenda spidi gani zaidi ya unayotakiwa kwenda. Hizo faini ndio zitakazolipa walinzi wa hapo magaetini na kuongeza kipatao cha Hifadhi ya Mikumi!
Hifadhi ya Mikumi wanaweza kunitafuta niwasaidie kwa hili, wala wasihangaike na kugharamia matuta barabarani na hata hao Polisi.
Hawaogopi kushambuliwa na wanyama wakali?huwa wanakaa mkuu ukiona gari ndogo imepak ujue wazee Wa. kumulika
Hua wapo labda siku uliyopita ndio hawakuwepo
Hua wapo labda siku uliyopita ndio hawakuwepo