Recent content by RJ-White

  1. RJ-White

    Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Ni kwanini anashukuriwa Rais wakati suala hili lilikuwa ni la kimahakama na sheria? Rais hapa anaingiaje? Au ndio ile kusema yeye ndio ana overrule kila kitu mpaka haki?
  2. RJ-White

    Ipi nzuri kati ya Kluger na Forester?

    Wanatumia zaidi Nissan X-Trail pia.
  3. RJ-White

    Kubali ama kataa, ukweli ni kwamba kwa hapa Tanzania mtu asiyejua Kiingereza hajaelimika

    Utumwa wa fikra. Kudhani kujua lugha ya taifa jingine ni ufahari. Huo nao ni ujinga kama ujinga mwingine tu. Kama unajua lugha za kigeni na unaona fahari na zinakusaidia wewe na familia yako, watu wengine yanawahusu nini? Hii nayo ni mada?
  4. RJ-White

    Kwanini Zitto hakuwepo Mahakamani wakati Uamuzi wa Kesi ya Mbowe ukisomwa?

    Punguza mawazo ya ukabila yamepitwa na wakati. Zitto ni lazima aende au awepo? Kuwepo kwake kungebadili nini? Mpigie simu muulize.
  5. RJ-White

    Mungu Haishi. Maana Si Kiumbe

    Pole pole utaelewa Mungu ni nani. Endelea kujifunza, kukosea kupo, ila endelea kujifunza utaelewa.
  6. RJ-White

    Mapokezi ya Rais Samia akirudi kutoka Ubelgiji, bado naliona tatizo sehemu

    Upumbavu na ushamba kiwango cha lami. Ujuha.
  7. RJ-White

    Umasikini ni tabia; kuwa na vitu vya gharama bila kipato cha kueleweka ni hasara

    Shida inaanzia kuwa mleta mada hajasema kipato kidogo anamaanisha kiasi gani? Kipato ni subjective. Unachoona kidogo kwako mwingine ni kikubwa, na vice versa. Hivyo umeshauri vizuri ila haiwezi kuwa ndio standard au cut-across rule of life.
  8. RJ-White

    Asilimia kubwa ndugu huvunja ndoa za ndugu zao

    Kwa ujumla jamii imebadilika. Ukitenda wema lawama, ukijitenga lawama. Ila wahenga walisema heri lawama kuliko fedheha! Ndugu kama hawajielewi ni hatari kabisa kwa ustawi wa ndoa.
  9. RJ-White

    CCM ni chama ambacho tumekichoka, lakini Lissu punguza kuongea sana

    Punguza mihemko na makasiriko. Akili zako unazoona zinakutosha inaweza kuwa ndio upumbavu kwa mtu mwingine. Believe in your own interpretation. #idiot.
  10. RJ-White

    CCM ni chama ambacho tumekichoka, lakini Lissu punguza kuongea sana

    Lissu is by far not a leader, let alone presidential material. Kusoma na kuwa msomi hainaanishi una busara. You could still be an educated idiot.
  11. RJ-White

    Lissu, na Wanaharakati kuweni makini mtapeleka Mbowe jela hamna mnachomsaidia kwenye kesi yake

    Ana kesi ya kujibu. Hajahukumiwa kwenda jela. Isubiliwe ajibu yanayomkabili. Hilo ni shauri la mahakama, sio serikali. Hakuna mahali Mama anawajibika kwa lolote katika shauri hilo. Apewe nafasi ajibu mashauri yake, haki itendeke na ionekane ikitendeka.
  12. RJ-White

    Rais Samia apata msaada wa fedha jumla ya shilingi trilioni 1.15 toka EU

    Afrika bado safarinni ndefu sana. Umasikini na utumwa wa fikra. Sio kwa wasio enda shule wala ma professor wote almost mentality ni sawa. Kuna kitu gani cha kujivunia au kufurahia kupata misaada kutoka Ulaya ikiwa nchi imejaliwa kila aina ya utajiri? Omba omba!
  13. RJ-White

    iPhone SE toleo la 3 inategemewa itatoka mwaka 2022 mwanzoni

    Mtu ambaye hajawahi kutumia iPhone hawezi kujua aseme nini. Anachojua yeye ni kuwa iPhone ni bei kubwa. Hakuna kitu kingine anajua. Sumsung, Google, LG, Oppo, Huawei, hTC, na zingine nyingi ni tofauti ya majina na brand tu lakini a simple fact ni kuwa zooote ni ANDROID. Appe software ni...
Back
Top Bottom