Wataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy F
Bookkeeping F
Mathematics F
Hivi ni mimi mwenyewe huwa natongozwa na mashoga au maana haipiti wiki sijatongozwa
Nilipoanza kupiga gym kipindi cha nyuma walikua wananitongoza na sio wengi sasa hivi ndo wanazidi kuongezeka huko facebook ndo usiseme na instagram
Nikienda club wananitongoza tena anakuja mtu na heshima zake...
Nina miezi 4 sasa toka ninenda Gym mazoezi nafanya ila tatizo limekua kubwa kuhusu kutakwa na gays
Sehemu nyingi unakuta mtu ana heshima zake ni gym trainer lakini anataka dushee na wengi ni hao hao unakua na gym mazoezi wanakutaka uwapumulie kisogoni
Kama sasa hivi nimeshabadilisha kama gym 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.