Nataka kuacha kwenda Gym ushoga umekua mwingi kwa mabondia

Rizzy2020

Member
Jul 22, 2021
22
20
Nina miezi 4 sasa toka ninenda Gym mazoezi nafanya ila tatizo limekua kubwa kuhusu kutakwa na gays

Sehemu nyingi unakuta mtu ana heshima zake ni gym trainer lakini anataka dushee na wengi ni hao hao unakua na gym mazoezi wanakutaka uwapumulie kisogoni

Kama sasa hivi nimeshabadilisha kama gym 5 na zaidi kwasababu ya haya mambo
Najitaidi kuepuka lakini naona linanizidi maarifa

Nilikua naweka picha mtandaoni nikawa nikipost tu huko messenger kunakua na balaa unakuta meseji nyingi wanakutaka wanaume wenzako

Nikafuta picha zote mtandaoni bado natatizika sana.Kwanini gym wanaopiga wanapumuliwa?Mimi na gym naamini mwanaume ni ukakamavu sasa kwanini ikawe hivyo tena wengine ni mabondia na gym trainer kabisa

Kwanini hali inakua hivi nawaza nisiende gym tena mimi kufanya hicho kitendo nakiogopa sana tena kumfanyia hata mwanamke siwezi sasa mwanaume mwenzangu ndo nitaweza?
 
Ndege wafananao............!!!!!
 
acha tu na wewe usije ukawa shonki, kuna ukweli fulani apo bodybuilders wengi wanakua na testosterone (hormone ya kiume) nyingi either naturally au wanaongeza sasa mwili katika ku regulate testosterone levels hubadili testosterone to estrogen (hormone ya kike) ushonki huanza hivi kwa mazingira haya.
 
Noma sana, inamaana ukianza kupiga tizi wazee wa gym wanakuangalia hivi 🐒👇

20220418_091644.jpg
 
Back
Top Bottom