Kwa mliowahi kutongozwa na mashoga live au mtandaoni

Rizzy2020

Member
Jul 22, 2021
22
20
Hivi ni mimi mwenyewe huwa natongozwa na mashoga au maana haipiti wiki sijatongozwa

Nilipoanza kupiga gym kipindi cha nyuma walikua wananitongoza na sio wengi sasa hivi ndo wanazidi kuongezeka huko facebook ndo usiseme na instagram

Nikienda club wananitongoza tena anakuja mtu na heshima zake na ambaye ni mgumu kujua kama wahuni wanampiga paipu. Wengine ni vigogo na watu maarufu anakuambia atakupa na pesa kabisa

Mtaani au barabarani mtu anakufata kama anauliza kitu au anajifanya kukufananisha ukimpa namba anaanza kukutumia jumbe za kukutaka mwingine atazunguka zunguka ukiona mwanaume mwenzako anakuuliza kama shemu yupo au kukuhoji kwanini upo single juwa kuna tatizo hapo

Hivi kwako mdau wa jamiiforum ilikuaje ushawahi kutongozwa na shoga?Na unachomoka vipi hapo maana hawa jamaa ni ving'ang'anizi kinoma
 
Nilipoanza kupiga gym kipindi cha nyuma walikua wananitongoza na sio wengi sasa hivi ndo wanazidi kuongezeka

Nikuuliza swali moja kama unajua jibu: Kwa nini mashoga wengi wanapenda sana kwenda gym?
 
Hivi ni mimi mwenyewe huwa natongozwa na mashoga au maana haipiti wiki sijatongozwa

Nilipoanza kupiga gym kipindi cha nyuma walikua wananitongoza na sio wengi sasa hivi ndo wanazidi kuongezeka

Nikienda club wananitongoza tena anakuja mtu na heshima zake na ambaye ni mgumu kujua kama wahuni wanampiga paipu. Wengine ni vigogo na watu maarufu anakuambia atakupa na pesa kabisa

Mtaani au barabarani mtu anakufata kama anauliza kitu au anajifanya kukufananisha ukimpa namba anaanza kukutumia jumbe za kukutaka mwingine atazunguka zunguka ukiona mwanaume mwenzako anakuuliza kama shemu yupo au kukuhoji kwanini upo single juwa kuna tatizo hapo

Hivi kwako mdau wa jamiiforum ilikuaje ushawahi kutongozwa na shoga?Na unachomoka vipi hapo maana hawa jamaa ni ving'ang'anizi kinoma
Huu ni uzi maalum wa mashoga kutafuta mabwana
 
Hivi ni mimi mwenyewe huwa natongozwa na mashoga au maana haipiti wiki sijatongozwa

Nilipoanza kupiga gym kipindi cha nyuma walikua wananitongoza na sio wengi sasa hivi ndo wanazidi kuongezeka huko facebook ndo usiseme na instagram

Nikienda club wananitongoza tena anakuja mtu na heshima zake na ambaye ni mgumu kujua kama wahuni wanampiga paipu. Wengine ni vigogo na watu maarufu anakuambia atakupa na pesa kabisa

Mtaani au barabarani mtu anakufata kama anauliza kitu au anajifanya kukufananisha ukimpa namba anaanza kukutumia jumbe za kukutaka mwingine atazunguka zunguka ukiona mwanaume mwenzako anakuuliza kama shemu yupo au kukuhoji kwanini upo single juwa kuna tatizo hapo

Hivi kwako mdau wa jamiiforum ilikuaje ushawahi kutongozwa na shoga?Na unachomoka vipi hapo maana hawa jamaa ni ving'ang'anizi kinoma
Birds of the same feather.........
......naomba umalizie hiyo proverb plz
 
Huna lolote, umekuja kuchafua waenda gym na vigogo,
Ungekua unatongozwa na hao vigogo usingepata muda wa kuandika ushairi wako hapa
 
Una muonekano wa kishoga ndo maana wanakufata.

Shoga hawezi kukurupuka tu kumfata mtu yeyote huwa wanapiga mahesabu kwanza kabla ya kumfata mtu atakuanzishia stori akiona unajibu kishogashoga ndo anakuchomekea hizo mada vinginevyo anajua kabisa akikutana na vichwa kama vyangu naweza kumng'oa meno akiniletea huo ungese

Kwahiyo sijawahi kukutana na huo upuuzi
 
Kuna shoga mmoja alikua meneja EXIM BANK Tanga, saivi yupo DTB Nyerere Road, sikuamin alipotaka nimpige machine, niliblock number yake na kuifutaa baada yakujiridhisha asilimia 100 kua ni shoga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom