Msaada: Napata woga na hofu wakati wa kufanya mapenzi hadi mashine inalala

Sehemu yoyote una wasiwasi huwezi kusimamisha ,unatakiwa urelax ,Mimi kuna toto moja shombe shombe nilimpiga mistari tukazeana ,nikimwita kwangu anipe mzigo anataka niende kwake,aliniambia anaishi mwenyewe ,aiseee moyo ulisita ila akili inaniambia ukikosea ndo humpati tena.

Nilienda tukapiga story mbili tatu tukaanza kuvuana nguo ,ile naweka tu jiwe likarushwa kwenye bati ,kudadeki nilishtuka ,mbona ilinywea kama tipu ya baiskeli iliyopata pancha ,nikavaa nguo nikamwambia hapa hapana twende kwangu
umenikumbusha nilipomzamia demu geto kwake. room haikuwa na dari nikasikia majirani wanasema huyu "jamaa hajipendi". Niliomba udhuru
 
Copied Kutoka kwenye moja ya mada zangu, Natumaini itakupa mwanga japo kiasi fulani.

Thalamus ni kisehemu ndani ya ubongo wa mwanandamu ambacho kila upande kimezungukwa na kitu kiitwacho Paleomammalian Cortex kwa lugha rahisi hufahamika kama Limbic System, Limbic System ni mfumo ambao kazi yake ni kuratibu mfumo wa Tezi na mfumo wa Autonomic Nervous System, Autonomic Nervous System (ANS) ni mfumo ambao huratibu mambo mbalimbali ila moja ya jambo ambalo huratibiwa na mfumo huu ni Emotions yaani vile mtu anavyojisikia. Emotions ni kama vile hasira,upendo,ujivuni, wasiwasi, uogo, huruma, kuchanganyikiwa nk . ANS ndio inaratibu hisia moja ya hisia hizo ni upendo na na mfumo wa ANS unaratibiwa na Paleomammalian Cortex/Limbic System hivyo basi maswala yote yanayohusu mapenzi yanaratibiwa katika mfumowa Limbic System.

Mapenzi ni kama spika iliyounganishwa na Computer, spika hua inatoa sauti tu ila haijui inatoa sauiti gani bali CPU ndio hufahamu hicho kinachotoka ni kitu gani au kama macho yenyewe yanachukua picha ya kile kilicho mbele yake ila macho hayajui hicho ni kitu gani bali ubongo ndio hutambua hicho kilicho mbele ni kitu gani. Wengi hua tunasema kwamba moyo ndio humpenda mtu la hasha! moyo hauhusiki katika kupendai bali Ubongo, unapomuona mtu akakuvutia Limbic System inatoa homoni mbazo zinapelekea moyo kwenda mbio, halafu unasikia moyo unampenda sana huyo mtu lakini ukweli huo upendo upo kwenye ubongo.

Hisia unazisikia kwenye moyo sababu kuna Neva mbalimbali ndani ya moyo ambazo huhisi maumivu au hali yoyote kutokana na jinsi ubongo ulivyoamuru moyo uhisi juu ya mtu huyo alivyekuvutia. Kwa ujumla swala la kupenda au kupendwa halihusiani kabisa na moyo bali ni ubongo ndio huhusika ila moyo ni kwa ajili ya kuzitoa zile hisia zilizopo kwenye ubongo, kwa lugha ya kitaalamu tunaweza kusema kwamba kazi ya moyo katika mapenzi unatumika kama Output device.

Kwakua mapenzi yanaratibiwa na ubongo basi swala la nguvu za kiume tunaweza kulitatua kwa kutumia Akili (Mind) kumbuka kwamba Mind ipo ndani ya ubongo. Conscious mind ni sehemu ya Akili (mind) ambayo inahusika na kushughulikia mambo yote ambayo tunayafahamu kwa kuona,kusikia au kuhisia. Kiufupi Conscious mind inashughulikia yale ambayo yapo katika utambuzi/ufahamu wetu, kumbuka kwamba kitu unachofikiria kwenye akili yako juu yako ndio kitu kitakachofanyiwa kazi .

Unapotaka kufanya tendo la ndoa ukaanza kuhofu kwamba hautaweza kufanya tendo vizuri Conscious mind inazichukua hizo hofu zako za kwamba hautaweza ndio zinazofanyiwa, taarifa hizo kwamba hataweza kufanya tendo zinaenda hadi kwenye mfumo wa Limbic sytem kwakua mfumo huu ndio unaamrisha homoni zinazohusika katika kuimarisha Uume ufanye tendo kwa muda mrefu na kwa viwango bora.
 
Shukran
 
Nahitaji mnisaidie juu ya hili nimekua napatwa na uoga na hofu wakati wa kufanya mapenzi haswa wakati nakutana na manzi mpya.

Wakati mwingine nikikutana na msichana pisi kali ndo napata uoga kabisa na hofu
Niwaambie kwamba nikiwa na msichana ambaye nilishawahi kufanya nae napiga show kama kawaida na show na magoli ya kutosha tu au nikiwa na msichana ambaye nimeshamzoea inakua sio shida na nguvu ninazo za kutosha na sina tatzo la kiume kabisa.

Ila nikikutana na msichana mpya hiyo siku naingiwa na uoga kinoma, yaani nakua na hofu hadi dushe linalala hii inanisababishia hadi napaniki.

Hili tatizo linanitesa sana siku hizi nashindwa hata nifanyeje maana imefika mahali hata nikiwaza kukutana na msichana mpya yaani naingiwa na uoga na hofu sana kwamba mambo yatakua vile vile tu.

Naombeni msaada wa kudeal na hili tatizo linaninyima raha sana.
Jitahidi kutumia condom wakati wa tendo, hiyo hofu huwa unaipata unakuwa unafikiria juu ya magonjwa endapo huyo unaemgegeda ana ngoma etc.
 
Nyumba za kupanga unaingiza mtoto ndani unawasha mziki unaanza shoo, Shoo inakolea umeme unakata ghafla unamziba mdomo.
Wakati wa kutoka unakutana na mashemeji wamejipanga kwenye korido.
 
Back
Top Bottom