Recent content by Riz2552

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Sawa Mkuu ,awe dini gani ?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na mawe yang'anayo Sana je ni dhahabu Au madini?

    Hayo yanayo ng'aa ni madini aina ya zinc,kama hujawahi chimba dhahabu unaweza fikiri ni yenyewe,lakini mara nyingi zinc na dhahabu hupatikana kwenye mawe,ila kwa haya ni madini aina ya zinc.
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama umewahi kula kuku na mayai yake njoo utoe ushuhuda hapa

    Ni mwenyewe huyo.
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama umewahi kula kuku na mayai yake njoo utoe ushuhuda hapa

    Hahaha ! Mlunza Mzee wa kugawa mchuzi wa maharage .
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za wasomi

    Hakuna uhusiano kati ya Elimu na ndoa ,kutokua na elimu na ndoa ,ndoa ni habari nyingine ,mapenzi ya dhati na maelewano ndio kila kitu ktk ndoa.
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuta vitu vya mwanaume chumbani kwa mpenzi wangu

    Pole sana,ukisomesha mwanamke au kumtafutia kazi mara nyingi wanalipa kwa staili hii .
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Kumbe kuna wanaume wako hivi..

    [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana wa mshkaji wangu amenipenda

    Ujafanya vizuri demu wa mshikaji wako huyo, sio ishu achana nae. Vp ingekuwa ww ndio umefanyiwa hivyo?
  9. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatoa msimamo juu ya sakata la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Ni jambo jema
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

    Titanic
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemhonga msichana simu na bado amenitosa, naweza kumripoti polisi?

    Pole sn mkuu.
Back
Top Bottom