Recent content by Riwa

 1. Riwa

  KKKT Mna tamaa sana na hela , ona waliyoyafanya na Mzee Mengi

  KKKT ina tatizo na marehemu Mengi baada ya kuachana na marehemu mkewe na kuoa tena. Marehemu alikuwa ametengwa na KKKT...hakupata kurudishwa kundini.
 2. Riwa

  Election 2020 Jafo anatufaa Urais-2020-ama baada ya Magufuli -2025

  Unamtilia kitumbua chake mchanga ujue...
 3. Riwa

  Tundu Lissu: Mwaka 2019 ni wa kurudisha Demokrasia, Haki na Utu wetu Tanzania (Sehemu ya Kwanza)

  Tuko vizuri [emoji41][emoji41][emoji41]... Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Riwa

  SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

  Natafuta 'home theatre' za Hisence, mnazo? Tafadhali nifahamishe kama mnazo.
 5. Riwa

  Mume wangu anapoteza hela yake bure, mimi sina uwezo wa kushika mimba

  Hedhi ni shedding ya endometrium (mojawapo ya tissue ya mfuko wa uzazi) baada ya kujiandaa kupokea yai lililorutubishwa, lakini yai linakuwa halijarutubishwa. Ukitolewa kizazi, huwezi shed endometrium. Hivyo utapata zile feelings kutokana na mabadiliko ya hormoni kutokana na mzunguko wa mwezi...
 6. Riwa

  Mume wangu anapoteza hela yake bure, mimi sina uwezo wa kushika mimba

  Hii stori imekaa kiuongo-uongo...kweli daktari awe anachunguza infertility kwenye couple asahau kufanya kipimo basic tu cha ultrasound?! Ultrasound itaonyesha hakuna mfuko wa uzazi (uterus)!
 7. Riwa

  Polisi wafanya doria Sinza kuzuia maombezi, WanaCHADEMA wawili washikiliwa

  Inashangaza sana inapotumika nguvu kubwa mnoo kuzuia watu wasifanye maombezi! Yaani shetani anakazaniwa ashinde mchana kweupeee..
 8. Riwa

  Wanaohoji uzalendo wa Tundu Lissu inabidi wayajue haya...

  Mimi ni mmoja ya waliofaidika na hiyo namba 9. Tundu Lissu alitutetea buree (akiwemo naibu Waziri wa Afya) tukaishinda serikali (Wizara ya Afya) mahakama kuu mwaka 2006.
 9. Riwa

  Sio single mother wote ni single mother

  ...umeandika kwa chuki!! sijui una chuki gani na wajane au wanawake walioachika.
 10. Riwa

  Tanzia: Mke mdogo wa Mzee Yusuph afariki dunia wakati akijifungua

  Ni aibu kwa kweli hospitali kubwa kama Amana kuacha mama na mtoto wafariki sababu ya uzazi...wapi salama sasa!?
 11. Riwa

  Hatimaye JWTZ yaingia Kibiti, Ikwiriri na Mkuranga kudhibiti na kutafuta wauaji wa Polisi na RAIA

  Ina maana IGP na waziri wake wa mambo ya ndani wameshindwa... Ina maana CDF na waziri wake wa ulinzi ndio mwarobaini mpya... Tuwatose basi hao walioshindwa!!
 12. Riwa

  Nimeambiwa tutaishi South Sudan baada ya ndoa

  Habari hii haiwezi kuwa ya kweli, South Sudan ni UN Level 3 emergency country...hivyo yeyote anayeenda kikazi South Sudan haruhusiwi kwenda na familia (mke/mume au mtoto/watoto). Kama mumeo anenda South Sudan kikazi, atakuwa anaenda peke yake...lalamikia upweke, lakini sio hatari kwamba na wewe...
 13. Riwa

  BUNGE LIJALO LITAKUWA CHUNGU SANA KWA SERIKALI

  Jana tu tulikuwa tumeweka imani yetu kwa rais kuwa atafanya maamuzi ya busara kwa taifa...haikutokea, leo tunaweka imani kwa bunge...bunge lipi? Hili la ze-komedi (according to Jairo)?
 14. Riwa

  Je, NAS Haulage kamhonga gari Paul Makonda ili asisumbuliwe kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya?

  Namsubiri Paskal Mayalla @Pasco aje kutetea na hili!
 15. Riwa

  Rais Magufuli akiamua kuwa Rais wa maisha kuna wa kumzuia?

  Katiba inamzuia...na aliapa kulinda katiba! Wenzake huwa wanang'ang'ania kwanza kubadili katiba, jambo ambalo linahitaji ushiriki wa wananchi! Wananchi wanaweza kumzuia.
Top