Recent content by Ritte One

  1. R

    JamiiForums Tanzania Agenda ya Ushoga: Katika Wateule wa Joe Biden 1,500 kuna mashoga 210 sawa na 14%

    Mi nadhani ni muda muafaka wa kuacha kupambana na hao mashoga tuelekeze nguvu kupambana na hao wanaowafanyia hicho kitendo maarufu kwa jina la (bahasha au mabahasha) japo ni vigumu lakini itasaidia kupunguza kwa kiasi fulani kwa sababu ukipambana na hao mashoga ni vigumu kutokana na kile...
  2. R

    JamiiForums Tanzania DAR iko overrated, Majority ya watu wanaishi maisha ya ovyo sana

    Pia usisahau Dar ndio jiji linaloongoza kwa watu kulala nje kama sio duniani basi ni Afrika mfano mzuri nenda fly over ya Tazara pembeni mwa ukuta wa kiwanda cha Bakhresa utawaona wamelala kuanzia saa tatu usiku na kuendelea pia Kariakoo utawakuta mtaa wa Kongo na Pemba na maeneo mengine.
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake chotara au shombeshombe ni kweli wanapatikana mkoani Tabora?

    Sawa boss nitawapa hai wote kuanzia Mfejini, Machine tools, Makuna, Msufini, Nshara hadi Narumu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kilichonitokea kituo cha Daraja la Salenda baada ya kushuka kwenye daladala saa nne usiku

    Mkuu kipo Camp Wakipora wakikimbilia vichakani wakutane na askari.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kilichonitokea kituo cha Daraja la Salenda baada ya kushuka kwenye daladala saa nne usiku

    Ni City Center Upanga la aliyekuwa Mchungaji kiongozi baadaye akateuliwa na hayati Magufuli kuwa Mkurugenzi wa Usalama taifa DG kwa sasa ni Balozi nchini Namibia naye si mwingine bali ni Dk. Modestus Francis Kipilimba.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kilichonitokea kituo cha Daraja la Salenda baada ya kushuka kwenye daladala saa nne usiku

    Mkuu ni kumwelewa tu hivyo hivyo maana yeye hana taaluma ya uandishi wa habari, kiukweli mimi nimemuelewa yuko vizuri kwa maana ya hata waandishi wanafunzi watajifunza kupitia bandiko kama hizi kwamba hapa palitakiwa pawe hivi yeye mwenyewe mwanafunzi atalirekebisha kwa kusoma.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kilichonitokea kituo cha Daraja la Salenda baada ya kushuka kwenye daladala saa nne usiku

    Mkuu ni tukio la siku nyingi au la hivi karibuni.
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    Kwani huyo kijana unamhudumia (kumhonga) mahitaji yake muhimu? ila tambua ikitokea amekuchoka (kakuacha)utafanyeje utajiua au utamtongoza mwingine.
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    We mzinzi dhambi maana huyo kijana kuna siku atakuchoka Umri wako tafadha Vingi vinatokea Arusha na Kagera-Bukoba na ndio kwanza vimeanza kukijua kiingereza kwa mtu anayechanganya mbili ofauti ni ushamba wa lugha kama hakuna ulazima japo upo kwa asiye mtaalamu wa Kiswahili.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mfanyabiashara afariki kwenye ajali ya gari

    Arusha na Moshi kwa kusifia wanaongoza, kama wewe ni mtu wa kalba hiyo basi huna budi kwenda kuishi huko.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sina usingizi

    Usiku kula matunda achana na na vyakula.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu

    Mkuu kwa nini lugha yetu pendwa Kiswahili unailetea masiharaa wakati huu ambao ndio imetambulika kama lugha ya Kimataifa.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

    Hizi ni mbwembwe tu wala hawakimbii.
  14. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

    Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
  15. R

    JamiiForums Tanzania KWELI Uume huacha kukua mwanaume anapofikisha umri wa miaka 20

    Imepita kwa asilimia mia moja bila kupingwa.
Back
Top Bottom