Sina usingizi

Nilikuwa nimelala naota nyoka wananitembea usingizi umekata naogopa hapa sana 😭😭😭 siwezi lala tena
Amka hapo kitandani simama usali, uvunje hiyo roho ya mauti! Mida hii wale waovu ndio hurudi mahali pao pa kazi kukabidhi mafaili ya kazi za uharibifu! Usikubali saa kumi ipite hujakemea hiyo roho ya uharibifu! Amka usali!
Tumia DAMU YA YESU kufuta hiyo ndoto!
 
Nilikuwa nimelala naota nyoka wananitembea usingizi umekata naogopa hapa sana siwezi lala tena
You need prayers my dear...
Watu wanachukulia poa tu...lakini hiyo ishara ya kuota nyoka wanakuja sio nzuri pia...
Sijajua wewe ni ni mtu wa imani gani...??
 
Unaogopa wa kumuota, akija wa uhalisia je? Mbona yule nyoka wa asiyekua na macho ni hatari Sana lkn hamumeogopi. Hana macho lakini hata gizani anateleza kwenye utamu wako. Ona hata Mende eti kidada hicho kinaruka na makelele lakini nyoka wa wanaume hadi wanamlamba....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom