Recent content by ritha

  1. ritha

    JamiiForums Tanzania Binti wa kazi za ndani anahtajika

    Nina ndugu yangu nae anatafuta kazi za ndani
  2. ritha

    JamiiForums Tanzania Shareholder

    Natafuta mtu wa kushare nae biashara ya duka la vitu Mchanganyiko alie siriuos aje pm
  3. ritha

    JamiiForums Tanzania Tuambie yupi amekuwa mwanasiasa wako bora 2017

    Magufuli Pombe J
  4. ritha

    JamiiForums Tanzania Vijana 2,880 wajitolea kwa hiari katika vita dhidi ya ufisadi

    nawachukia sana wala rushwa mtu unakosa haki yako hivi hivi. tulikosa haki yetu kwenye kifo cha baba yetu, hata mimi ningejitolea kwa nguvu zote
  5. ritha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenzangu, usigombane na mwanamke mwenzako kisa ni mchepuko wa mume wako

    Africa bado sana tutabaki bara linaloendelea maisha yote
  6. ritha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepanga kutomgusa mke wangu kimwili

    Hilo ni chaguo lako na wakati unamchagua uliridhika na vigezo vyake so we pambana tu
  7. ritha

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wenye hasira na hamasa ya kutafuta pesa Kwa njia halali tusaidiane mawazo.

    Nipo hapa mwenye hasara niunge kwa group
  8. ritha

    JamiiForums Tanzania cooler box 12 volt

    Bei
  9. ritha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba miaka 2 sasa! Malengo yangu nikumuoa, lakini mama yangu anasema nimuache

    Dada wa watu ameacha wachumba wengi shauri yako leo mganga anataka awatenganishe, namuonea huruma huyo dada kama ameanza kukataliwa mapema hivyo imekula kwake hata akiingia kwenye ndoa mama na mjomba watamletea gubu si la kitoto na ataondoka bila kuaga Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ritha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katoka Tanga kaja Mwanza bila taarifa

    Baadae atadharauliwa kwa kuitwa single mother au amezaa kabla ya ndoa, bora atoe tu ili aonekane mpya Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ritha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unapotoa mada unatakiwa uwe na busara ,kumbuka humu mpo watu tofauti wapo ambao mama zao /baba zao ni single parent kabla ya kuolewa/kuoa na kuanzisha familia na maisha yakaenda na ukute wewe ukaoa mtoto alielelewa katika usingle so hayo ni maisha tu, waafrika kuendelea bado sana Sent using...
  12. ritha

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    QUIGLEY
  13. ritha

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Bado sitachelewa
  14. ritha

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuombewa jamani!

    Imani yako itakuponya
  15. ritha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

    Huyo ni kama niliempata mimi tena bora wako ana kazi ya maana mimi wangu alikuwa kinyozi saloon lkn mimi sikuona hatari kumpa pesa alipokuwa ananiomba coz naamini mtu ukimpenda hata hujiulizi mara mbili unampa tu coz nilimpenda kutoka moyoni, lkn nilikuwa nampa kwa staili ya kumkopesha ili...
Back
Top Bottom