Recent content by Ritakahama

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa breakthrough!

    Hakuna next time rafiki time ni hii tupe ushuhuda maana sisi wakatoliki ndo tunaongoza kutangatanga .tunahitaji sana shuhuda tupatie
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    Mi mwenyewe nikivyokuwa bint nilikuwa nawaza nikiolewa na mume mwenye uwezo naacha kazi nalea.unfortunate lucky was not on my side
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

    Hahaha sijaalog in muda mrefu ila comment yako umenifanya niingie.kiufupi unachosema ndio ilivyo. Sisi wanawake tunapenda kaukatili kiasi.hahaha.sio nikikutisha unaogopa.sio akapige kama mbwa mwizi achanganye na za mbayuwayu.ndo mana wanaume hardcore (sio wakorifi )ni hardly kukuta ndoa zao...
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upweke huu ni hatari…

    Britanicca let's find each other holiday season tupunguziane upweke you'll never regret
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story: A Woman of the people

    nimejifunza mambo mawili baada ya kusoma huu uzi.Yani Mungu wetu ni wa rehema na huruma sana anaweka dhambi zetu mbali nasi kama mashariki ilivyo mbali na magharibi na haukumu kama wanadamu. Pili bado kuna wanaume wana upendo wa ajabu na uaminifu, Mungu ambariki sana huyo kaka popote walipo. If...
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mpenzi wangu, nifanye nini niimudu hali hii?

    ulivyoandika tu nataka nikamuue nimejua na wewe mana ndo maneno yako.we kaka mbinafsi sana nilivyojitoa kwako kwa moyo wote unajua ulichofanya.lazima uwe na hasira sababu we ndo mnufaika wa mahusiano what did i get from you zaidi ya kutufolenisha
  7. R

    JamiiForums Tanzania Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Jamani nina miaka mingi sijalog in huwa nasomaga tu ila huu uzi umenifanya nimelia sana acheni tu hii dunia. Itoshe tu kusema nateseka lakini maombi yamenifunilia yalio sirini naonyeshwa kabisa anayenitesa. Ukiniona huwezi jua mateso nayopitishwa hapa nalia nitahadithia nikitulia.
  8. R

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Hotel ya Tai Five yapigwa mnada

    Si kwel hata kidogo huwa nalala tv 5 mara nyingi tu sijawahi kupatwa na usemalo wala kusikia mteja akilalama hii hotel imekuwa under receivership for mire than five years nashangaa benk walichekewa wapi
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    Nashukuru nimezaliwa kwenye familia ambayo hata ulikuwa ukinywa maji mama anakwambia ombea ule utoto unakasirika lakini tumekuwa watu wazima hata wanaume wanaomba unashangaa kuamka ucku muanze kuomba ni kwa kawaida wakati mwingine unawaza kuna laziada kwa sbb in our clan we are blessed in most...
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    Samahani huwa sisomi pm kwa nature ya device ninayotumia
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    Nashukuru kwa ushauri natamani ningeandika zaidi lakini some people will easily spot me kwa nature ya kazi na biashara nifanyazo .laiti lingekuwa gari tu kwa sasa siishi kwenye nyumba yangu wala sijaipangisha japo nimepanga nina panda boda daladala etc na magari nilipark kwa hasira coz the last...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    sijakuelewa rafiki
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    Hahaha thanks for the offer
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    Zinamfanya sana ukiwa na pesa mwanamke ukweli ni ngumu kumpata the one me nimechoka manake kila anayekuja hata kama anauwezo anaanza kuwaza kumiliki ulivyo navyo na hawafichi ukweli ni kwamba hata wanaume wanatamani sana wenye mali i wish i could fly somewhere sometimes niishi low nipate mtu...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

    Hahaha ngoja nicheke
Back
Top Bottom