Recent content by riot

  1. riot

    Kondakta, na Dereva wasimulia mkasa wa mwanafunzi wa NIT kupigwa risasi

    Na huyo konda angekuwa katega kichwa vizuri angeenda aysee! Duh! Swali ni kwamba kwa nini risasi za moto? Kwani walikuwa Na kibali cha maandamano? Serikali unatakiwa iliangalie kesho lake la polisi kwa macho ya kiroho aysee, kwani hawakuwa Na mabomu yao ya machozi, au maji ya kuwasha, au ndo...
  2. riot

    Huwa nawashangaa na nawaonea sana huruma Wanaume wenye hizi tabia....

    Kuna kitu kinaitwa "tabia" Na tabia haina dawa, MTU mwenye tabia ya kujaribu jaribu ataendelea hivyo hivyo Na tabia yake whatever what, unaweza kuoa bikira, kama anatabia ya kujaribu atatoka akajatibu, au hata asiye Na bikira ila anatabia ya kujaribu ataendelea hivyo hivyo, au single mother...
  3. riot

    Tambua siri ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari

    Kweli Na wenye uelewa nadhani ukifuata masharti basi hutoonana Na maradhi haya.... Maana kasi yake sahivi ni ya ajabu kabisa
  4. riot

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Tafadhali naomba mwaliko kama hutojali
  5. riot

    Hiki ni Kiswahili cha kisasa au?

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  6. riot

    Hiki ni Kiswahili cha kisasa au?

    Atakuwa ngosha huyo, msukuma yeye totally hajui matumizi ya R Na L huwa wanabahatisha mno
  7. riot

    Hiki ni Kiswahili cha kisasa au?

    Yaani hata tatizo siyo lugha Mama, watu wanabadilika tu wanaiga iga tu, mi hadi nikadhani labda ni vimisemo tu vitaisha, lakini unakuta hadi watu kama waandishi wa habari, wasoma habari tena kwa luninga anasoma 'abali' mi nakereka kweli, nkajua ni ndugu zangu wahaya tu kumbe siku hizi kila MTU...
  8. riot

    Tambua siri ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari

    Kwa maana nyingine kama unakunywa chai unywe chai kavu bila vitafunwa, baada ya masaa mawili ndo tule hivyo tulivyoandaa kwa ajili ya chai.... Sawa but kibongo bongo sidhani tena kule kwa Bibi zetu hawatakuelewa kabisa
  9. riot

    Wanawake tulieni na ndoa zenu

    Amina, wanaocheat Mungu awasaidie waiepuke dhambi hiyo
  10. riot

    Top universities in Tanzania 2018

    Mmmh! Source of information please, UDOM kuizidi MUHAS na SUA
Back
Top Bottom