mjunirojasi
Senior Member
- Sep 3, 2017
- 108
- 54
Kila siku tabia ya nchi inabadikika uoto wa asili hali ya hewa ubadilika technologia & globalization so mwanadam we mfananishe na air condition hamna kingine zaidi ya hayo
Ya wewe kucheat au kucheat na mimi?
Kama ya wewe kucheat haya
Ila kama ya wewe na mimi hapana,
Huwa napiga one night stand
Nakuomba PMBadilisheni pambio basi maana tumecheza style moja mpk tumechoka sasa
Wanawake kucheat sio leo sema nini wa kizazi hiki hatuna siri ukitaka kuujua ukweli kamuulize mama yako
Necha necha necha my foot mtupe break babu eeeh!!! Na sie necha inazingua wanaume wenyewe vinukta na bado dk tatu chali na sie tuna necha ikikukera kunya boga
njoo niingize kwenye utumbo kenge weweeKwa hiyo kama mtu hapati mahitaji yote
Kurukaruka ruksa.
Mie kuflirt siachi ng'oo
Amina, wanaocheat Mungu awasaidie waiepuke dhambi hiyoBinadamu siyo nguzo.
Leo mnaoana kwa furaha na bashasha,
Miaka kadhaa anabadilika na kuwa mtu wa tofauti kabisa.
Wanaocheat wacheat ni kwa sababu zao binafsi na mostly ni kutoka kwenye nafsi zao yakakolezwa na external force.
Wasiocheat Mungu awabariki.