MkuuLimao kila siku ni kiboko ya Kisukali
Asante mkuu.kwanza kabisa naomba nikushukuru kwakua umetambua ninalengo nzuri. Lakini lapili kuhusu kuweka wazi nikwamba nimesha weka wazi humo kwa kusema ukitaka kutumia maandazi basi kaa Massa mawili ama matatu ili sukari iliokula kwenye chai ivunjwe, ndipo ule andazi hali kadhalika nikataja chapati na kadhalika. Nikataja makundi ya chakula kama Wanga na Protini ili kuelezea jinsi unavyotakiwa kula na sukari Nikasema Protini na sukari sawa na unaweza kula pamoja.nikiwa na maana hapo supu ya Nyama ama mayai na kadhalika ambavyo ni protini nisawa. Nikasema ngano ambayo ni chapati sio sawa kula na sukari, kwani itasababisha sukari ilio kwenye chai kuvunjwa taratibuMleta mada binafsi naona unalengo zuri,lkn naona km hutumii maneno yakawaida ambayo mtu yeyote akisoma anaweza kutoka na ktu, mfano Kwann usiweke wazi kitafunwa ambacho mtu anaweza anaweza kunywa na chai kuliko kusema ooh protin Sijui kitu gani,ili elimu ifike kwa usahihi km ulivokusudia..
Limao ninaweza lielezea kwa utaratibu mwingine kabisa.Limao lina wingi wa vitamin C na kasium kwa wingi hivyo hufanya madini ya foliki yaweze kufanya kazi na husaidia chembe sahani katika damu, huko naona nisiende sana kwaufupi limao kwa mujibu wa mada hii ni salama kabisaYap limao vipi ?
Asante mkuu.kwanza kabisa naomba nikushukuru kwakua umetambua ninalengo nzuri. Lakini lapili kuhusu kuweka wazi nikwamba nimesha weka wazi humo kwa kusema ukitaka kutumia maandazi basi kaa Massa mawili ama matatu ili sukari iliokula kwenye chai ivunjwe, ndipo ule andazi hali kadhalika nikataja chapati na kadhalika. Nikataja makundi ya chakula kama Wanga na Protini ili kuelezea jinsi unavyotakiwa kula na sukari Nikasema Protini na sukari sawa na unaweza kula pamoja.nikiwa na maana hapo supu ya Nyama ama mayai na kadhalika ambavyo ni protini nisawa. Nikasema ngano ambayo ni chapati sio sawa kula na sukari, kwani itasababisha sukari ilio kwenye chai kuvunjwa taratibu
Vitafunwa walikua wanakula sanatu, ila sukari hii ambayo ndio imekuja kuleta shida haikuwepo,na ndio maana hata maradhi haya kwao ilikua ni ndotoaise kwanini haya magonjwa yamezid sana siku hizi?? unataka kutuaminisha wazee wa zamani walikuwa hawanywi hizo chai na vitafunwa??
Asali na matunda havina madhara na Dalili za kushuku tatizo ni hizi. Kukojoa kupita kiasi(Mara kwa Mara)Kiu ya Mara kwa mara Kuchoka bila sababu.Dalili hizo ni dalili za awali kabisa za kuashiria sukari inapanda Lakini upande wa pili Dalili za kuashiria sukari inapungua ni kuchoka sana, kizungu zungu Kuona vitu viwili viwili na kukonda ghafla.vipi kuhusu sukari ya matunda na asali? Zinamadhara? ningependa kujua dalili za kisukari. Yani mtu mwenye kisukari huwa anaumwa wapi haswa?