Recent content by Ringi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nikiasi gani unaingiza kwa mwaka na unakifanyia nini?

    Natumia 6 mil mkuu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nikiasi gani unaingiza kwa mwaka na unakifanyia nini?

    Mambo vipi, si mbaya kama wanajamii tukaelezana jinsi tunavyospend hela zetu na kupeana ushauri.. Binafsi naingiza mil 10 kwa mwaka na natumia Mil 4 kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na familia, mil 2 kwa ajili ya matumizi yangu binafsi na inayobaki ni Akiba kwa ajili ya kuwekeza na wakati...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tumia Biblia 2 au zaidi kuepusha kubaki na maswali

    Nimekusoma Kiongozi..
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tumia Biblia 2 au zaidi kuepusha kubaki na maswali

    Mimi nadhani Maneno ya kiswahili hayajitoshelezi.. Hivyo naona ni vyema MTU anaposoma biblia awenazo 2 hasa kwa lugha ya kiingereza na kiswahili kwani anapotumia ya kiswahili pekee atabaki na maswali mengi.. Mfano Yohana 2 : 4 - Yesu akamwambia, Mama, tuna nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mil 3

    Anzisha bishaya ya Mpesa.. Tsh 500K nunua laini Tsh 500K lipa kodi ya eneo Tsh 2000K zungusha.. Mingo nzuri unaweza kupata kila mwezi TZS 500K profit
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kapakaziwa...! Daah siku hizi ndio kiki kijana
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mambo mangapi unaweza kuyaelewa.. Mengine unayaacha yapite mwana
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuuwa bila kukusudia

    Hajakusudia, mfano amewasha moto akatupa sehemu yenye kichocheo chochote na ukasababisha moto mkubwa ambao ukapelekea vifo vya watu..
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuuwa bila kukusudia

    Haahaaa hapana jamaa
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuuwa bila kukusudia

    Mambo vipi wadau.. Nahitaji kujua ni sheria ipi na adhabu gani anayopewa Mtoto wa chini ya miaka 10 anapouwa bila kukusudia..
Back
Top Bottom