Recent content by rikiboy

  1. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu wa kaziii..!
  2. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Natamani hata ningekufa leo !

    Yes ni kweli kabisa mkuu..
  3. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Natamani hata ningekufa leo !

    Death is not a solution hata siku moja ila ni njia ya kuumiza wengine zaidi, MTAFUTE MTU UMWAMBIE TATIZO LAKO. hata kama hata kupa msaada itakusaidia sana wew.
  4. rikiboy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Daktari amempiga hadi kuzirai Muuguzi mwenzetu, hakuna hatua zilizochukuliwa. Waziri wa Afya, TAMISEMI tunaomba msaada

    Kupigana Kazini tenaa??? Hivi watu Ethics huwaga walisoma wakaziacha shule?? Emotion zinakucontrol mtoto wa kiume kiasi hichoo ila Hapo lazima Mapenzi yalitanguliaa🤣🤣🤣🤣Hasiraa za kazi huwezi piga mtu
  5. rikiboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

    Ukiishi na mwanamke ukaona kuna mabadiliko ya Tabia analeta tabia za Ovyoo mkanye waziwazi kwamba Sipendi Unavyofoka foka kama Unaongea na mtoto au sipendi kunitumia msg za kugomba Ila kama ulimuoa akiwa na tabia hizo kumbadilisha ni Ngumu. Mwanamke ni kama mtoto mlelee na kumweka kwenye Njia...
  6. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu kanogewa kukaa kwangu. Kamaliza chuo 2020 lakini haondoki, nifanyeje?

    Miaka 6 hakuna progress kafanya anakaa kwako huyo labda asubiri kuolewaa
  7. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

    Sina uhakika juu ya mengi ila Kombee arsenal habebii
  8. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Kama serikali imeshindwa kuendesha mfumo wa ESS , bora waufute au kuwe na mbadala in case mfumo unafeli

    Yani portal ya ovyoo sanaa hiyo
  9. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Gari analotumia "Makonda" lazua mjadala mitandaoni

    Hata tukibwekaaaa hakuna anaejali😀😀
  10. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Benfica ausioo🤣🤣🤣
  11. rikiboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Kwa mwanaume uwe hata na mtotoo.
  12. rikiboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mtoto sio wangu

    Kweli ni mtoto wa afu 2000
  13. rikiboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mtoto sio wangu

    Kwa hiyoo watoto wiwili umeona hawatoshii unahangaika kupata watatu wa nje??? una matatizo ya akili kijana miaka 45 ila bado akili za balehee zimekujaa.
  14. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yani daah inaumiza sana
Back
Top Bottom