Recent content by rightstrict

  1. R

    Swali kuhusu upatikanaji wa Viagra

    Hahaha, sio leo ,ila nipo kweny maandaliz mkuu...
  2. R

    Swali kuhusu upatikanaji wa Viagra

    Nauliza, Dawa hii inayotumika kutibu Erectile dysfunction (Viagra/ Sildenafil) inauzwaje katika pharmacy zetu na prescription yake inakuaje? Naomba mwenye kujua anifahamishe..Nina shida nazo.
  3. R

    Msaada: Sidumu muda mrefu katika tendo la ndoa

    Habari Ndugu zangu, Naomba mnisaidie nifanye nini niweze kudumu angalau kwa mda mrefu zaidi katika tendo la ndoa na mke wangu, maana yani nikienda round moja tu ya dakika moja au mbili tayari nimemaliza na hua nashindwa kurudia mke wangu analalamika haridhiki na napenda nimridhishe. Nisaidieni...
  4. R

    Jinsi gani ya kujua mzunguko wa hedhi?

    ni rahis, siku ya kwanza utakapopata hedhi ndo unaanza kuhesabu moja,kwavile umesema unapata siku tatu unapata hedhi,inamana baada ya hizo siku tatu dam itakatika,then hesabu mpaka utakapokuja kuona dam tena,yani hiyo hedhi,utakua umejua jumla ya siku zako katika mzunguko wako wa mwezi....
  5. R

    Vipele sehemu za siri

    Nakushauri uende hospital mapema. utapata ushaur wa daktar na atakupatia dawa sahihi, mana hujatoa maelezo yote ambayo daktar anaweza kukusaidia kwayo, yawezekana ikawa ni HPV infection, fungal au hiyo herpes virus uliotaja....please nenda hospital mapema dada yangu l na usione aibu kwa ajili ya...
  6. R

    Nakosa cha kuongea na mpenzi

    umetisha Evelyn salt
  7. R

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo ya aliepost hii thread ni mazuri ila hayana maana kwasabab hatuwez pata mshindi
  8. R

    Mwanaume

    hahaaaaa, hapo umenena
  9. R

    Nahitaji dawa ya kurefusha uume

    Sasa huo uroho, inch 6 au 7 zote hizo, au huzijui inch wewe....
  10. R

    kuahirisha masomo mwaka wa kwanza

    This is It..... Don't postpone the year without registering to the specified University first .... Your space will be occupied and thereby you will have to apply again freshly next year
Back
Top Bottom