Jinsi gani ya kujua mzunguko wa hedhi?

Depretty

JF-Expert Member
Jun 14, 2013
248
98
Habari, naomba kujuzwa jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi yaani kama ni wa 28,29,35. Huwa napata hedhi mda wa siku tatu.

Shukrani
 
Last edited by a moderator:
habr..naomba kujuzwa jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi yaani kama ni wa 28,29,35....huwa napat hedhi mda wa siku 3





shukran

ni rahis, siku ya kwanza utakapopata hedhi ndo unaanza kuhesabu moja,kwavile umesema unapata siku tatu unapata hedhi,inamana baada ya hizo siku tatu dam itakatika,then hesabu mpaka utakapokuja kuona dam tena,yani hiyo hedhi,utakua umejua jumla ya siku zako katika mzunguko wako wa mwezi....
 
Siku tatu una raha sn,wengne ni tano had saba.....wanakuwa wanamiss muda mkubwa Wa kuimarisha ndoa ahahahaa
 
Mimi ndo sieleweki naenda siku50 mara40
inatoka kidogo
siku2-3
Tumbo linauma hatari.
 
Back
Top Bottom