habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Piga chini maana hakuna jinsi
Sasa si umtumie msg Jamaa mwenyewe??? Halafu wakati mwengine nyinyi ndio mnapelekea tushindwe show... Mtu unafuatilia show as if unafuatilia Malipo ya bima ya NIC. Mara sijui usikojoe ndani, Mara fanya kwa makini, Mara unaniumiza, Mara nimechoka, Mara unanikomoa, Mara unachelewa kukojoa ulikua kwa mchepuko, Mara Hiyo Harufu umetoa kwa mwanamke gani, Mara umechelewa wapi, Mara pokea simu ya Malaya wako!!!! Unategemea kutakua Na show hapo? Hata ule tawi Zima la Mkuyati hupigi show Kali.
Mwanamke ni watu wa tatu tofauti katika mwili mmoja.hahaaaaa, hapo umenena
Ha ha haa!
Ni kumkimbia tu hakuna namna
Ha ha ha ha ha!! Wakati mwingine huwa na sisi tunaangalia wanaoridhisha... Sasa unakuta una Umbo la Kabati nani apoteze pesa Zake?
Halafu papuchi yenyewe ni afadhali ya bwawa LA mtera
Halafu kwa nini wanawake wengi mazuri ndo wanakuwa na mabwawa?
Mbona hata ID yako pia haiko poa?Hivi wewe ulishindwa kabisa Id hadi ukaweka hiyo?
Mbona hata ID yako pia haiko poa?
Atleast hela ikiwepo utavumilia vumilia kupunguza njaa
Ndio ni jina langu, halafu mbona wengi wanalishambulia sana kwani lina tatizo gani?Mi Id yangu ni jina langu la kilugha...na wewe hilo ni jina lako?