Msaada: Sidumu muda mrefu katika tendo la ndoa

rightstrict

Senior Member
Aug 25, 2014
100
15
Habari Ndugu zangu,

Naomba mnisaidie nifanye nini niweze kudumu angalau kwa mda mrefu zaidi katika tendo la ndoa na mke wangu, maana yani nikienda round moja tu ya dakika moja au mbili tayari nimemaliza na hua nashindwa kurudia mke wangu analalamika haridhiki na napenda nimridhishe.

Nisaidieni wana JF tuokoe jahazi.

Please take it serious brothers n Sisters
 
Maswali
1. Je umeoa kweli au ni mchepuko
2. Kama umeoa una mda gani
3. Mkeo ameanza kukulaumu mda gani?

Mantiki ya maswali.
1. Ufanyaji wa mapenzi mtu alooa ni tofauti na mtu mwenye mchepuko.
Kuna wanaume hadi afanye mara kadhaa (frequently) ndio anaweza akaanza kumaster game(talking out of experience). Lakini kama ni mchepuko mnakutana mara moja kwa week or mbili, hiyo kesi ni ngumu kujua kama unaumwa kweli au ni mzima. Pia kama ni mke kuna level flani ya hofu inapungua ukilinganisha na mke. Kwahiyo majibu ya maswali hayo hapo juu yatasaidia kwako.

2. Toka umeoa una muda gani? Maana ya swali hili ni kuwa umezoeana na mwenzi wako kiasi gani? Maana isije ukawa una mwezi mmoja, hivyo unachukulia experience ya first day ulivoshindwa hivyo ushapatwa na hofu. Hofu inaweza kuharibu kila kitu though inategemea na mmezoeana vipi na mkeo na anakupa support gani.

3. Kama mkeo ameanza kukulaumu first day ni makosa

Suluhisho:
Kabla hujawaza dawa.
1. Anza mazoezi daily
2. Kula juice ya kitunguu saumu, na tangawizi
3. Changanya na Asali mbichi
4. Baada ya mwezi leta mrejesho.

Pole sana
 
Nadhani unaweza kuwa na tatizo la kisaikolojia, nenda kwa wataalamu wa ushauri nasaha, jieleze watakusaidia kuondokana na tatizo
 
jitahidi kupiga push up angalau 50 kwa siku luka kamba kula chakula chenywe virutubisho,usiwe na mawazo mengine wakati wa swala zima la kula tunda lako utafanikiwa kaka kazi kwako
 
Habari Ndugu zangu,

Naomba mnisaidie nifanye nini niweze kudumu angalau kwa mda mrefu zaidi katika tendo la ndoa na mke wangu, maana yani nikienda round moja tu ya dakika moja au mbili tayari nimemaliza na hua nashindwa kurudia mke wangu analalamika haridhiki na napenda nimridhishe.

Nisaidieni wana JF tuokoe jahazi.

Please take it serious brothers n Sisters

Nini Sababu ya uume kushindwa kusimama?

Kushindwa kwa uume kusimama pia hutambulika kama kuishiwa nguvu za kiume. Ni kitendo cha mtu kushindwa kusimamisha uume au kudumisha usimamaji wa uume kwa muda wa kutosha kufanya tendo la tendo na mwenza wake. Pamoja na ukweli kuwa mara zote Mwanaume lazima atafika kileleni, hali huweza kuwa tofauti kwa upande wa pili kwani mwanamke anahitaji mwanaume akawie zaidi ili na yeye (mwanamke) aweze kutosheka.

Mkeo hupendelea ukawie na ikiwezekana ukawie zaidi. Kama utakuwa unawahi kumaliza, basi mkeo anakuwa hapati raha kamili.

Ingawa, kama una tatizo la kuwahi kufika kileleni hauko peke yako. Asilimia 30 hadi 40 ya wanaume wa rika zote wanakabiliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni au kupungukiwa kwa nguvu za kiume. Hata hivyo kutambuwa tu kwamba wanaume wengine pia wana tatizo kama lako siyo sababu ya wewe kukaa tu bila kutafuta suluhisho la tatizo lako.

Habari njema ni kuwa zipo njia zinazoweza kuleta matokeo mazuri na hatimaye kulimaliza tatizo hili bila madhara mabaya hapo baadaye.

Wakati mwingine uume kushindwa kusimama inaweza kuwa si tatizo, lakiini jambo hilo linapojitokeza kila mara na kwa kipindi kirefu inaweza kuleta msongo wa mawazo kwa mume na hata kwa mke. Sababu nyingine amabzo zinaweza kupelekea uume usisimame vizuri ni pamoja na matatizo ya mhemko kama;

  1. Wasiwasi
  2. Hasira
  3. Msongo wa mawazo (Stress)
  4. Huzuni
  5. Hofu na mashaka
  6. Kukosa hamu ya tendo la ndoa n.k
Ili uume usimame vizuri ni lazima:

  • Mfumo wako wa neva uwe na afya nzuri inayopelekea mpwito neva (nerve impulses) katika ubongo, uti wa mgongo na uume.
  • Mishipa ya ateri iliyo na afya ya ndani na iliyo karibu na corpora cavernosa
  • Misuli laini yenye afya na tishu za ufumwele (fibrous tissues) ndani ya corpora cavernosa
  • Kiwango sahihi cha oksidi nitriki (nitric oxide) ndani ya uume.

Uume kshindwa kusimama vizuri kunaweza kusababishwa pia kama kipengele kimojawapo hapo juu hakifanyi kazi vizuri. Mambo mengine yanayopelekea kupunguwa kwa nguvu za kiume, uume kushindwa kusimama vizuri na kuwahi kufika kileleni ni:

  1. Uzee
  2. Kisukari
  3. Kujichua/Punyeto
  4. Uzinzi
  5. Kukosa Elimu ya vyakula
  6. Kutokujishughulisha na mazoezi
  7. Shinikizo la juu la damu
  8. Ugonjwa wa moyo
  9. Uvutaji sigara/tumbaku
  10. Utumiaji uliozidi wa kafeina. aka kahawa
  11. Kudhurika kwa neva au uti wa mgongo
  12. Madawa ya kulevya
  13. Kupungua kwa homoni ya testerone
  14. Athari kutoka kwa baadhi ya dawa
  15. Pombe
Ukitaka Dawa ya kurudisha nguvu zako za kiume mimi ninayo. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Wengi wamesema vzr ila mm nakuoa nyingine ya kiutofauti.ukishindwa kuyafanikisha haya uliyoambiwa basi unapokuwa unagegeda jaribu kukumbuka msiba uliokuumiza sana au siku ambaho ulikuwa umechacha halafu una shida kubwa ya hela.lazima bao litarudi tu
 
Maswali
1. Je umeoa kweli au ni mchepuko
2. Kama umeoa una mda gani
3. Mkeo ameanza kukulaumu mda gani?

Mantiki ya maswali.
1. Ufanyaji wa mapenzi mtu alooa ni tofauti na mtu mwenye mchepuko.
Kuna wanaume hadi afanye mara kadhaa (frequently) ndio anaweza akaanza kumaster game(talking out of experience). Lakini kama ni mchepuko mnakutana mara moja kwa week or mbili, hiyo kesi ni ngumu kujua kama unaumwa kweli au ni mzima. Pia kama ni mke kuna level flani ya hofu inapungua ukilinganisha na mke. Kwahiyo majibu ya maswali hayo hapo juu yatasaidia kwako.

2. Toka umeoa una muda gani? Maana ya swali hili ni kuwa umezoeana na mwenzi wako kiasi gani? Maana isije ukawa una mwezi mmoja, hivyo unachukulia experience ya first day ulivoshindwa hivyo ushapatwa na hofu. Hofu inaweza kuharibu kila kitu though inategemea na mmezoeana vipi na mkeo na anakupa support gani.

3. Kama mkeo ameanza kukulaumu first day ni makosa

Suluhisho:
Kabla hujawaza dawa.
1. Anza mazoezi daily
2. Kula juice ya kitunguu saumu, na tangawizi
3. Changanya na Asali mbichi
4. Baada ya mwezi leta mrejesho.

Pole sana
asante mkuu kitungu swaumu ni tiba nzr cna asee.pia ale mchanganyiko wa tikiti.carrots na ndiz
 
Back
Top Bottom