Umeniwahi nilitamani kuandika haya, huyu jamaa anajitihada na uthubutu ambao watu wengi hawana.
Mimi kwangu kiongozi ni yule mwenye maono, uthubutu na ari ya kusimamia utekelezaji wa maono yake. Kwangu mimi huyu ni mtu bora sana ambaye anaweza kutusaidia kuondokana na mkwamo wowote kwenye sekta...
Hamumjui Zito, Zito ametoka lkn yeye pamoja na wengine ambao ni wazito watakua wanapata taarifa za mwenendo wa chama kila leo. Watakuaa na Strategy ya chama na malengo ya muda mrefu wa kati na mfupi na mpango wa uendeeshaji na watakuwa wanapata taarifa ya utekelezaji. Usifikiri huyo dada...
Tuliambiwa maji hakuna kwenye mabwawa tulikubali na mimi nimewahi kuwatetea pahala. Lakini kwa hali inavyokwenda hakuna nafuu.
Tunaamini mabwawa kina kimeongezeka hata kama si kujaa kabisa lakini umeme haupatikani shida nini jamani?
Umuhimu wa umeme mbaujua kweli ndio tumeshindwa kutatua hizo...
Nimejaribu kuwaza gharama za uzalishaji Marekani na Ulaya ziko juu kutokana na vyama vya wafanyakazi kusimamia kisawasawa maslahi ya wafanyakazi na gharama za maisha za nchi hizo.
Makampuni mengi yakikimbilia uchina kwa kuwa kuna mazingira yanayoruhusi wao kwenda huko ikiwemo watu wenye ujuzi...
Nilifikiria kama nchi tungetumia uwepo wa viongozi wa soka wa Dunia kuwashawishi kutembelea mbuga zetu na kuwaomba kupost kwenye websites na page zao za mitandao ya kijamii.
Kwa hili naamini tungeweza kuufikisha mbali sana utalii wetu zaidi ya Royal Tour(nawaza tu).
Rais, TTB na wadau wengine...
Ukiangalia kwa jicho jepesi unaweza fikiri wamefurahi kwa manufaa ya nchi la hasha.
Kipindi cha Makamba na Maharage wamepunguza sana matumizi ya ndani ya shirika(Ya tenda mimi sijui).
Madereva na maofisa wengine ambao walikua wanasafiri kila leo kila sehemu haya mambo hayapo tena.
Walikua...
Ni kweli usiopingika bandarini kuna janja janja nyingi sana ambazo zinapelekea mapato kupotea.
Kwa mfano; Nina kijana wangu ambaye alienda Zanzibar kununua Mashine kwa ajili ya kiwanda chake cha mbao. Alipofika bandari salama alikasimiwa kodi inayofikia milioni moja na elfu kumi na tano...
Vumilia ukiwa na malengo endelea kutegemea ndugu kwa muda ukiwa unazichanga kidogo kidogo.
Nunua tool box yako, jeki na vifaa vingine muhimu baada ya hapo tafuta kijiwe popote shinda hapo anza kazi. Huwezi kupata kazi nyingi kwa ghafla ila mbeleni watu watakuzoea utaletewa magari.
Kingine baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.