Kama shahidi wako anatoa ushahidi dhidi yako unakuwa na haki ya kumtangaza kuwa ni "hostile witness" ambapo sasa unakuwa na haki ya kumuuliza maswali ya dodoso (cross examination).
LIsu ana haki ya kusema kwamba mashahidi wake wamekuwa "hostile witness" kwa hiyo anakuwa na haki ya kuwafanyia cross examination badala ya examination in chief.
Ndio hana akili hata kidogo. Unatusumbua hapa na maswali ya kijinga. Nasoma comment za maana na wewe unakomaa kutetea division IV yako hapa. Bangladesh
Tapeli tu huyu asiwadanganye. I gave him benefit of doubt, nikasema 40,000 sio kitu hata akinitapeli maana ingekubali ningepiga hela ya maana.
Nilimtumia hicho kiasi anitengenezee account ya Marekani lakini kanipa account bila namba, bila verification wala document yoyote. Hana huu uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.