Napata wapi mkopo wenye riba ya 10%

Kwa mwezi au mwaka ?
Una dhamana?

Mkopo wako ni mkubwa kiasi cha kuweza kunegotiate riba ?

Anyway, ingia NMB au NBC wana riba poa tu from 15-20, per annum, hizi ndio riba ndogo bongo, hio 10% labda ukikopa $20B wanaweza kukufikiria

Ebu elezea kama mtu amechukua milion 6 atarudisha sh ngap kwa mwaka ??

maana kuna siku walinielezea nikaishiwa pozi
 
Back
Top Bottom