Recent content by Right Flower

  1. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mkoa Simiyu kufanya uchunguzi kuhusu picha mjingea inayosambaa mitandaoni

    Aidha, jeshi la polisi linatoa onyo kali kwa wanao isambaza picha mjongeo hiyo na kuwataadharisha kufanya hivyo ni kinyume cha sheria za maudhui na jeshi halitasita kuwachukulia hatua kali.
  2. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mke wa MC Pilipili, aibua gumzo Mtandaoni baada ya kuonekana na Ujauzito

    kwanini kwa sababu mfupi au ?
  3. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    Wewe mswahili wa mashairi ya kitibeli ulikua mchungaji ?
  4. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    Mkuu natambua hoja yako, ila pia nijibu je ulishawahi kushuhudia mtu anayeombewa ana majini ?
  5. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    ndio hata yeye alikua anatumia majini. Yani kimsingi ili kuwaeliminate compititors lazima mtu atumie nguvu ya ziada
  6. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    unaniuliza cross examination questions ili unisute tena aise we mwanaume na una lugha kali mmmh huwezi hata kutumia tafsida eti "uwezo mdogo wa ......"
  7. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    kumbe wananyanyua vitu vizoto 20kg au 30kg lakini kamwe sio 400kg hiyo ni karibia nusu tani usijifanye hujui
  8. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    ndio binadamu wa kawaida hawezi kufanya hivyo bila msaada wa nguvu ya majinii. Hivi ulishawahi kuona mtu anayeombewa majini alivyo na nguvu ?
  9. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    mwanaume kwa kusuta haujambo khaaaa
  10. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    Mimi na hata wewe haujawahi kuona mtaani tukio kama hilo
  11. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    ndio mkuu, je wewe haikushangazi kua sio jambo ka kawaida tena hasa kwa wanaume wetu hawa tunaogombania nao chips mayai ?
  12. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    sawa mkuu hatimae umekubali kua kuna watu wanauwezo binafsi na maajabu yao
  13. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    Anza hayo mazoezi hata mwaja mzima hauwezi utajijambia hapo wifi yangu apate aibu bure
  14. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    kwamba awabebe na kuwatoa point A kwenda point B ?! Ndio inawezekana. Kwani mku we majini unayachukulia poa. Ulishaona mtu mwenye majini anaombewa ?! Anaweza kuwakusanya watu hata sita akawarusha ovyo kama mabakuli ya ugali wa jana.
Back
Top Bottom