Mimi kama Mimi nikipunguziwa bei nachangamkia fulsa.sababu hzo hela zenyewe wanalipana posho Tu huko na mishahara mkubwa Bila kuwakumbuka walipa kodi.mfano mwanza swala la barabara kila Pande mbovu.barabara ya nyamongoro stand kwenda nyamongolo kwenyewe barabara imechimbika inaweza sema hakuna...
Yaan hela kiduchu hvyo alafu no mapumziko.mmh ,maisha magumu sana.kazi kuanzia saa7 am mpaka Saa 8 pm kwa mshahara huo sio mchezo.bora afanye kazi ya umamalishe alipwe sh 3000 per day na Kula anakula hapo hapo asubuhi na mchana.
Hawa jamaa wako vizuri sana.ndio wanaotengeneza daraja la kigongo busisi,ndio waliotengeneza barabara ya kiseke buswelu.na bank kuu ya mwanza hapo clinic.kwa ujumla mwanza wamepiga kazi sana na nizamaana
Kwa hyo kutembea kinyume na maumbile napo kunasamehewa?.mi najua Kuna dhambi 2 ambazo azisameheki ata ufanyaje.1 ni kumkufuru roho mtakatifu.2 kufanya mapenzi kinyume na maumbile
labda kwenye vibanda vya wanywa pombe za kienyeji kwenye vichochoro vya kuingia black ila sio hapo bolder au stand ya zaman
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
watu tunaongelea bei kuwa chini na tunaongelea bolder sio miji mikuu.kwa hyo na wewe kwa uzoefu wako unataka kulinganisha mji wa tunduma na dar.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
we ndio umeielezea tunduma kwa mapana.ni mji ambao unamalori mengi kuliko miji yote tz ukitoa dar.kiti moto ni kama kuku tu huku.lodge hujaa kalibu siku zote.ni mji mmoja upo bize sana.kumkuta mtu ameshika million 30 mkononi na yupo kwenye msongamani wa watu nijambo la kawaida kabisa.ni boda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.