Mkandarasi wa SGR lot 5 anajitahidi sana

Mkandarasi wa SGR lot 5 anajitahidi sana

Hector Cooper

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2023
Posts
779
Reaction score
1,177
CCECC ni mkandarasi anayejenga reli ya mwendo kasi kipande cha 5 kutoka Isaka hadi katikati ya jiji la Mwanza.

Huyu naona kasi yake ni ya kuridhisha na hana vilio na visingizio vya kupunguza wafanyakazi na masaa ya kazi kama wale waturuki.

Chini hapo ni daraja la juu la sgr (viaduct) lenye urefu wa k.m 1.4 linalojengwa jijini Mwanza likiwa limefika hatua ya kuweka beam.

IMG-20231126-WA0004.jpg
 
CCECC ni mkandarasi anayejenga reli ya mwendo kasi kipande cha 5 kutoka Isaka hadi katikati ya jiji la Mwanza.

Huyu naona kasi yake ni ya kuridhisha na hana vilio na visingizio vya kupunguza wafanyakazi na masaa ya kazi kama wale waturuki.

Chini hapo ni daraja la juu la sgr (viaduct) lenye urefu wa k.m 1.4 linalojengwa jijini Mwanza likiwa limefika hatua ya kuweka beam.View attachment 2825584
Hawa jamaa wako vizuri sana.ndio wanaotengeneza daraja la kigongo busisi,ndio waliotengeneza barabara ya kiseke buswelu.na bank kuu ya mwanza hapo clinic.kwa ujumla mwanza wamepiga kazi sana na nizamaana
 
Hao wanaitwa Chinese civil engineering construction company aka sisi I sisi ni kampuni kubwa sana
 
Back
Top Bottom