Recent content by RickNess

  1. R

    Kila mtu anapambana na mtu wake ilimradi kiki na kujipambanua

    Habari watu wa Mungu. Nimekua nikifuatilia sana siasa za nchi hii,tatizo la wanasiasa wenginwa sasa,hasa vijana,ni kutafuta "nitoke vipi". Hawana saiasa za masuala,wanafanya siasa za matukio. Mtakumbuka,ishu ya ufisadi,watu waliamka nayo kwelikweli,sasahivi haipo,hali iliyopo na mwanasiasa...
  2. R

    Tanzania kukabiliwa na baa la njaa

    Habarini za hapa!! Nimezunguka maeneo mbalimbali ya nchi yetu,jua ni kali. Jua linawaka la kutosha. Hali hii ikiendelea hivi,ni wazi kua nchi yetu itakabiliwa na uhaba mkubwa sana wa chakula mwakani. Mwaka 2018,nchi yetu iliapata neema ya kupata mavuno mengi sana,ila kwa hali ilivyosasa,na kama...
  3. R

    Kongamano la Amani: Butiku ahoji kwanini Tanzania imekuwa nchi ya minong'ono?

    Niko naangalia Kongamano la Amani hapa toka mwanzo, neno haki halitamkwi. Shehe mkuu kaongea matakwa ya waliowajengea BAKWATA msikiti. Mzee Butiku kasema sasa nchi imekuwa ya kunong'ona. Akauliza ni nini kimeleta hali hii, huku akiuliza kama amani bado ipo?
  4. R

    Kwenu TCRA, nakerwa sana meseji za hawa jamaa wa bahati na sibu/kamari

    Nisaidieni,najua matangazo ya michezo ya kubahatisha mmeyapiga marufuku redioni na kwenye tv......wamehamia kwenye simu. Yaani simu haipoi,mara MojaSpesho,mara hongera umechaguli,mara namba yako imepewa nafasi ya kushinda,ni kero kero. Toeni tamko,kama mtu alishajaribu kucheza,hizo sms...
  5. R

    Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

    Nianze kwa kusema kua,nimekua nikimfuatilia sana na kwa ukaribu Joshua Nasari,akiwa bungeni na Jimboni. Joshua anajua kujenga hoja,anajua kuipangilia hoja yake na akaeleweka na wenye akili. Kwale wakuunga mkono kila kitu huwa inakua ngumu kidogo kumuelewa Nasari. Jimboni kwake nimepita mara...
  6. R

    2020 hakuna uchaguzi,2025 hakuna uchaguzi,labda 2030 kuendelea.

    Habarini wakuu. Naandika haya nikiwa na uhakika kabisa kuwa,miaka niliyoitaja hapo juu ni miaka ambayo nchi yetu itakua inafanya kile ambacho wengi tunakiita uchaguzi mkuu. Kama ilivyokawaida,2020,Magufuli atachaguliwa tena na watanzani kumalizia kipindi chake cha pili....achana na hizi porojo...
  7. R

    Rais Magufuli naamini hii ndo nia yako dhidi ya Mzee Lowassa na wenzie

    Habarini za hapa wandugu. Kiukweli naridhishwa sana utendaji kazi wa Rais wetu,na serikali kwa ujumla. Pia,namfuatilia sana Mh.Rais karibu kila hatua. Baada ya Lowasa kurudi CCM,na kupokewa na Mwenyekiti wa CCM Taifa,kila mtu amekuwa na mawazo na mitazamo tofauti tofauti. Naamini kabisa,nia ya...
  8. R

    Wacha Ikae

    Kuvuta sigara ni hatari. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom