Rais Magufuli naamini hii ndo nia yako dhidi ya Mzee Lowassa na wenzie

RickNess

Member
Feb 10, 2019
7
37
Habarini za hapa wandugu.

Kiukweli naridhishwa sana utendaji kazi wa Rais wetu,na serikali kwa ujumla.
Pia,namfuatilia sana Mh.Rais karibu kila hatua.

Baada ya Lowasa kurudi CCM,na kupokewa na Mwenyekiti wa CCM Taifa,kila mtu amekuwa na mawazo na mitazamo tofauti tofauti.
Naamini kabisa,nia ya Mh.Rais ni njema kwa CCM na Taifa kwa ujumla.

Nilimsikiliza Lowasa kwa makini,kuna mahali alisema"namshukuru sana Mh.Rais,ametumia nguvu kubwa sana kunishawishi". Hii nguvu ilotumiwa na Mh.Rais kumshawishi Lowasa ni ya nini?,kwanini?,ana kipi kipya?.

Majibu yake ni,mara nyingi unapotaka kumchinja kuku wako,unamshawishi ili umkamate,unamfanya rafiki,unamuwinda kwa kila hali.

Sitaki kuamini kama Mh.Rais amemuwinda kukuwake mwenyewe,sema tu ailikuwa kwa jirani, ili akamuweke kama urembo bandani.

Kwanza ukiwa na kuku halafu akatoroka bandani,halafu ukafanikiwa kumkamata,ni wa kisu tu,ukimuacha ataondoka tena,na unaweza usimuone tena.

Nataka kuamini kuwa,lengo la Mh.Rais kutuimia nguvu kubwa kumshawishi Lowasa,kama alivyodai Lowasa mwenyewe,ni ili sasa ASHUGHULIKIWE akiwa katika mikono salama.

Naamini,Rais aliona mbali,kuwa,ukimshughulikia akiwa upande wa pili,utaamiwa unakandamiza upinzani,tena mtu aliyewahi kugombea urais na akaungwa mkono na idadi kubwa ya wapiga kura.

Sitaki kuamini kuwa kelele zote za akina Polepole,Butiku,Warioba,mzee Mkapa,mzee Mwinyi na sisi tuliopo huku grassroot majibu yake kwetu ni kumpokea Lowasa tena kwa mbwembwe. Sitaki kuamini kabisa.

Naamini nia ni njema,ya kumshughulikia akiwa bandani kwa mwenye banda lake.

Hata kama Mh.Rais hukua na nia hii,sasa utakuwa umegundua chakufanya.

Najua huwezi kuwa ulikuwa unatuambia mafisadi wamekimbilia upinzani ili tukushangilie,fanya kama ninavyoiona akili yako.
Mchinje kuku,sasa ni wako.

Najua uliowatumia kumkamata kuku wako ni walewale waliomsaidia kukimbia bandani,mchinje sasa,mwakani usipate shida kujitetea.

Mh.Rais,tuko nyuma yako,tumeshuhudia,ukibezwa kwenye ndege,Stiegler's Gorge,Reli na mengine mengi,ulisimama imara. Simama kwa huyu,kura milioni 8 si haba,kwa hali ilivyokua hizo ndizo kura za CCM na wanaCCM damu,walioamua kutokwenda na mafuriko,tulioumizwa na zile hamahama za wakati ule,tulioamua kukuchagua tukiamini utawanyoosha hawa wote.

Mimi binafsi sikuona mgombea mwingine yoyote kwenye zile form za kupigia kura isipokuwa wa CCM,nilipotoka niliuliza watu kama kulikuwa na wagombea wengine kwenye zile karatasi.

Fanya kitu dunia ijue upo.

Mungu akubariki na kukulinda.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Kunywa maji sasa - hoja zako kama zina mihemuko fulani - Kura 8M!!!!

umeota kweli
 
Umesahau kuweka namba ya simu!
 
Low as a person alikuwa rehab, alikywa kachanganyikiwa, anajinyea. Sasa kapona tumpe muda kumuangalia ana weza kuishi kwenye jamii au bado.
Theory hii anaifahamu mzee wa kiraracha aka mzee wa parole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua huwezi kuwa ulikuwa unatuambia mafisadi wamekimbilia upinzani ili tukushangilie,fanya kama ninavyoiona akili yako.
Mchinje kuku,sasa ni wako.

.

Unataka kutuambia aanze na huyu kwenye mahakama ya mafisadi.
Ata mimi nitamuunga mkono kwa hili. Kwa hakika najua kabisa hawezi na hatoweza kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za hapa wandugu.

Kiukweli naridhishwa sana utendaji kazi wa Rais wetu,na serikali kwa ujumla.
Pia,namfuatilia sana Mh.Rais karibu kila hatua.

Baada ya Lowasa kurudi CCM,na kupokewa na Mwenyekiti wa CCM Taifa,kila mtu amekuwa na mawazo na mitazamo tofauti tofauti.
Naamini kabisa,nia ya Mh.Rais ni njema kwa CCM na Taifa kwa ujumla.

Nilimsikiliza Lowasa kwa makini,kuna mahali alisema"namshukuru sana Mh.Rais,ametumia nguvu kubwa sana kunishawishi". Hii nguvu ilotumiwa na Mh.Rais kumshawishi Lowasa ni ya nini?,kwanini?,ana kipi kipya?.

Majibu yake ni,mara nyingi unapotaka kumchinja kuku wako,unamshawishi ili umkamate,unamfanya rafiki,unamuwinda kwa kila hali.

Sitaki kuamini kama Mh.Rais amemuwinda kukuwake mwenyewe,sema tu ailikuwa kwa jirani, ili akamuweke kama urembo bandani.

Kwanza ukiwa na kuku halafu akatoroka bandani,halafu ukafanikiwa kumkamata,ni wa kisu tu,ukimuacha ataondoka tena,na unaweza usimuone tena.

Nataka kuamini kuwa,lengo la Mh.Rais kutuimia nguvu kubwa kumshawishi Lowasa,kama alivyodai Lowasa mwenyewe,ni ili sasa ASHUGHULIKIWE akiwa katika mikono salama.

Naamini,Rais aliona mbali,kuwa,ukimshughulikia akiwa upande wa pili,utaamiwa unakandamiza upinzani,tena mtu aliyewahi kugombea urais na akaungwa mkono na idadi kubwa ya wapiga kura.

Sitaki kuamini kuwa kelele zote za akina Polepole,Butiku,Warioba,mzee Mkapa,mzee Mwinyi na sisi tuliopo huku grassroot majibu yake kwetu ni kumpokea Lowasa tena kwa mbwembwe. Sitaki kuamini kabisa.

Naamini nia ni njema,ya kumshughulikia akiwa bandani kwa mwenye banda lake.

Hata kama Mh.Rais hukua na nia hii,sasa utakuwa umegundua chakufanya.

Najua huwezi kuwa ulikuwa unatuambia mafisadi wamekimbilia upinzani ili tukushangilie,fanya kama ninavyoiona akili yako.
Mchinje kuku,sasa ni wako.

Najua uliowatumia kumkamata kuku wako ni walewale waliomsaidia kukimbia bandani,mchinje sasa,mwakani usipate shida kujitetea.

Mh.Rais,tuko nyuma yako,tumeshuhudia,ukibezwa kwenye ndege,Stiegler's Gorge,Reli na mengine mengi,ulisimama imara. Simama kwa huyu,kura milioni 8 si haba,kwa hali ilivyokua hizo ndizo kura za CCM na wanaCCM damu,walioamua kutokwenda na mafuriko,tulioumizwa na zile hamahama za wakati ule,tulioamua kukuchagua tukiamini utawanyoosha hawa wote.

Mimi binafsi sikuona mgombea mwingine yoyote kwenye zile form za kupigia kura isipokuwa wa CCM,nilipotoka niliuliza watu kama kulikuwa na wagombea wengine kwenye zile karatasi.

Fanya kitu dunia ijue upo.

Mungu akubariki na kukulinda.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Watu wengine akiri hizi mnazitoa wapi au ndo za kuzaliwa maana kama ni za darasani huwezi leta hoja kama hii ka unajitambua ipasavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kura million nane 8m kwa kiini macho cha lubuva nanukuu "nasoma matokeo kama yalivyotumwa kutoka katika vituo vyakupiga kura" na hilo litume la lichama limoja na polisi ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kuwaleta humu mtandaoni waambieni wawapeleke shule kwanza ,maana hoja hizi hata chekechea ana nafuu .
 
Back
Top Bottom