Kwenu TCRA, nakerwa sana meseji za hawa jamaa wa bahati na sibu/kamari

RickNess

Member
Feb 10, 2019
7
37
Nisaidieni,najua matangazo ya michezo ya kubahatisha mmeyapiga marufuku redioni na kwenye tv......wamehamia kwenye simu.

Yaani simu haipoi,mara MojaSpesho,mara hongera umechaguli,mara namba yako imepewa nafasi ya kushinda,ni kero kero.
Toeni tamko,kama mtu alishajaribu kucheza,hizo sms wazielekeze kwake,mimi sijawahi hata kuiwaza,nakerwa sana sms za hawa jamaa wa bahati na sibu/kamari.
 
Exactly mkuu,
Me Jana Kama Jana nmewapigia tgo huduma kwa wateja kuwalalamikia wasinitunie mimeseji yao, kwangu ishakuwa kero me staki kila baada ya nusu saa washatuma, .....
Nlichojibiwa nlichoka kabisa

Eti oohh hizo n SMS za matangazo huwez kuziblock zikaacha kuja Kwako, lazima zje

Kwa haraka tu nkawa najiuliza kuset wameset wao vp iwe ngumu kumuondolea mtu huduma hio!!??

Doohh nkachoka kabisa
Nisaidieni,najua matangazo ya michezo ya kubahatisha mmeyapiga marufuku redioni na kwenye tv......wamehamia kwenye simu.

Yaani simu haipoi,mara MojaSpesho,mara hongera umechaguli,mara namba yako imepewa nafasi ya kushinda,ni kero kero.
Toeni tamko,kama mtu alishajaribu kucheza,hizo sms wazielekeze kwake,mimi sijawahi hata kuiwaza,nakerwa sana sms za hawa jamaa wa bahati na sibu/kamari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom