Helooo xory jaman hii inamaana gan ?
Nimepewa control number nimelipia lakin hawanipeleki sehemu ya kuchagua vyuo.
Naishia kuona hiv[emoji116]
Msaada tafadhal
Hongera sana ni chuo kizuri sana na Wana hospital nzuri sana piaa kwa sasa wameongeza (GOOD SAMALITAN CANCER HOSPITAL) Kama eneo la practical.
Japo walifungia kipindi flan hiv but now wameruhusu.
Kuhusu menyu wory out, jipange kula wali kwa bei nafuu
HONGERA SANA.
Hello,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani Morogoro, tatizo langu ni kwamba nilisha tendwa miaka miwili iliyo pita kwa hiyo sipendi kukaa na wanawake huwa na jitenga peke yangu discussion huwa sipendelei kwa kuwa katika kundi letu kuna wanawake 5 japo hupenda sana uwepo wangu kwa kuwa nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.