Napendwa na wanawake wengi na wazuri darasani

RichZ

Member
Mar 30, 2017
18
45
Hello,

Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani Morogoro, tatizo langu ni kwamba nilisha tendwa miaka miwili iliyo pita kwa hiyo sipendi kukaa na wanawake huwa na jitenga peke yangu discussion huwa sipendelei kwa kuwa katika kundi letu kuna wanawake 5 japo hupenda sana uwepo wangu kwa kuwa nipo serious na sipendi ujinga muda wa disc.

Tatizo ni kwamba robo tatu ya wana wake wa darasani wote wananikubali sana kimapenzi hupenda kuja nakuniomba niwaelekeze vitu fulani vya kimasomo, na mimi huwa sikatai lakini nikiwa katika kuwafundsha kutegwa kwingi alafu wengi wao wanakuwa wakifikiria mbali hapo ndipo wanaponiudhi.

Wengine wamenitongoza kabisa, nimetokea kuwachukia sana wanawake kwahiyo muda mwingi nakaa na wanaume wenzangu tukiwa katika stori ila tukiwa katika kusoma huwa nakaa alone tuu, nimekuwa gumzo sana kwa upande wa wanawake hadi mwaka wa kwanza tu wananifahamu kwa kuwa nipo tofauti na wenzangu, sijisifii ila ninaongea kilichopo.

Licha ya hayo mimi ninasali dhehebu fulani hivi na huwa napenda sana kufunga na kuomba kulingana na shida zangu kwa MUNGU wangu, nimefuta contacts picha na kila kitu cha alie kuwa mpenzi wangu tangu tuachane na mwezi huu ameanza kunitafuta kwa kunipigia na kunitumia text lakini sijawahi kupokea wala kujibu, sitaki kujua lengo lake nini kwani hata SMS zake huwa anasalimia tu " mambo". Basi nikiona text yake tuu hasira na kuwachukia wanawake zinakuwa mara mbili.

Naombeni ushauri kimawazo nifanyaje ili nifikie malengo yangu bila kuwaudhi na kutoonyesha hasira kwa wanawake.

Pia nimepanga kutokuwa na mtu hadi nitapohitimu masters yangu ingali sasa ni mwaka wa 2 wa degree yangu, kwa mtazamo wako nitaweza.?
 
emt45

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
565
1,000
Hello oooooooooo mm ni mwanafunz wa chuo furan morogoro tatzo langu ni kwamba nilisha tendwa miaka miwl Iliyo pita kwa hiyo cpendi kukaa na wanawake huwa na jitenga peke yangu discussion huwa sipendeleag kwa kuwa ktk kund letu kuna wanawake 5 japo hupenda sana uwepo Wang kwa kuwa nipo serious na cpend ujinga Muda wa disc. Tatzo ni kwamba robo Tatu ya wana wake wadarasan wote wananikubali sanaa kimapenzi hupenda kuja nakuniomba niwaelekeze vtu flan vya kmasomo, na mm huwa ckatai Lakin nikiwa katika kuwafundsha kutegwa kwingiiiiii af wengi wao wana kuwa wakifikiria mbaaali hapo ndipo wanapo niudhi,wengn wamentongoza kabsaa. Nimetokea kuwachukia sana wanawake ko Muda mwing nakaa na Boyz wnzang tukiwa katka story ila tukiwa katka kusoma huwa na kaa alone tuu, nimekuwa gumzo sanaa kwa upande wa wanawake an had first year tu wananfahamu kwa kuwa npo tofaut na wenzang, sijisifii ila ninaongea kilichopo. LICHA ya hayo mm ninasali dheheb fulan hv na huwa napenda sana kufunga na kuomba kulingana na shida zangu kwa MUNGU wangu,nmefuta contacts picha na kila k2 cha alie kuwa mpenz Wang tangu tuachane na mwez huu ameanza kuntafta kwa kunpigia na kuntumia text lakn cjawah kupokea wala kujb, ctak kujua lengo Lake nn kwan hata sms zake huwa anasalmia tu " mambo". Basi nikiona text yake tuuuuu hasra na kuwachukia wanawake znakuwa mara2. Naomben ushaur kimawazo nifanyaje ili nifikie malengo yang bla kuwaudh na kutoonysha hasra kwa wanawake? Pia nimepanga kutokuwa na mtu had ntapohtm masters yang ingal sasa n mwaka wa 2 wa degree yang kwa mtazamo wako nitawezaa
Ushakuwa wewe Tafuta Msichana , si ushauri mbaya ila ukipata mwanamke wa level yako hapo ulipo utajifunza mengi na akili ktk mahusiano itakomaa
NB . BUT BE SMART AND SAFE HAPO UNAPOSOMA MAANA UKIMYA WAKO SI NGAO YAKO
 
andjul

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
17,522
2,000
Nimepata shida kusoma kha! Hebu rudia kuandika vizuri,mwanaume hana mwandiko mbovu kama huu halafu eti wewe ni mwanafunzi....
Mara hii umefika huku? Rudi kule muache mtoto asome ili afaulu vizuri.

Naona kijana bado anasoma chuo kwa muongozo wa wazazi ezi ifu yupo sekondari
 
Pablo

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,451
2,000
Nnavo wajua watoto Wa chuo wanavyopenda kitonga waje kukuganda kisa sura. Mmmhhhh labda watoto Wa cheti maana diploma tu hawafanyagi huo ujinga
 
patricl

JF-Expert Member
Oct 2, 2015
431
250
Hello oooooooooo mm ni mwanafunz wa chuo furan morogoro tatzo langu ni kwamba nilisha tendwa miaka miwl Iliyo pita kwa hiyo cpendi kukaa na wanawake huwa na jitenga peke yangu discussion huwa sipendeleag kwa kuwa ktk kund letu kuna wanawake 5 japo hupenda sana uwepo Wang kwa kuwa nipo serious na cpend ujinga Muda wa disc. Tatzo ni kwamba robo Tatu ya wana wake wadarasan wote wananikubali sanaa kimapenzi hupenda kuja nakuniomba niwaelekeze vtu flan vya kmasomo, na mm huwa ckatai Lakin nikiwa katika kuwafundsha kutegwa kwingiiiiii af wengi wao wana kuwa wakifikiria mbaaali hapo ndipo wanapo niudhi,wengn wamentongoza kabsaa. Nimetokea kuwachukia sana wanawake ko Muda mwing nakaa na Boyz wnzang tukiwa katka story ila tukiwa katka kusoma huwa na kaa alone tuu, nimekuwa gumzo sanaa kwa upande wa wanawake an had first year tu wananfahamu kwa kuwa npo tofaut na wenzang, sijisifii ila ninaongea kilichopo. LICHA ya hayo mm ninasali dheheb fulan hv na huwa napenda sana kufunga na kuomba kulingana na shida zangu kwa MUNGU wangu,nmefuta contacts picha na kila k2 cha alie kuwa mpenz Wang tangu tuachane na mwez huu ameanza kuntafta kwa kunpigia na kuntumia text lakn cjawah kupokea wala kujb, ctak kujua lengo Lake nn kwan hata sms zake huwa anasalmia tu " mambo". Basi nikiona text yake tuuuuu hasra na kuwachukia wanawake znakuwa mara2. Naomben ushaur kimawazo nifanyaje ili nifikie malengo yang bla kuwaudh na kutoonysha hasra kwa wanawake? Pia nimepanga kutokuwa na mtu had ntapohtm masters yang ingal sasa n mwaka wa 2 wa degree yang kwa mtazamo wako nitawezaa
We jamaa funga zipu aisee watoto wa mama salma hawajawahi kutuacha salama,,,
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,643
2,000
Damn ...nimei-miss sana JamiiForums ya 2009/13 yaani ingekuwa kipindi kile ndo hivi wala nisingejiunga hapa ila shida sasa nimeshazoea na kutoka hapa siwezi.ona kama hapa:sielewi huyu anataka nini,kwanini na anatufikiriaje sisi tunaopita humu.nawashauri Mods kama kuzuia mada za kitoto toto hawezi basi wawaanzishie kajukwaa kao like TotoForums ili watoto wote wakutane huko pia kutupunguzia sisi wengine mzigo maana inachosha sasa.
 
Mr Makunduchi

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
1,006
1,500
Hello oooooooooo mm ni mwanafunz wa chuo furan morogoro tatzo langu ni kwamba nilisha tendwa miaka miwl Iliyo pita kwa hiyo cpendi kukaa na wanawake huwa na jitenga peke yangu discussion huwa sipendeleag kwa kuwa ktk kund letu kuna wanawake 5 japo hupenda sana uwepo Wang kwa kuwa nipo serious na cpend ujinga Muda wa disc. Tatzo ni kwamba robo Tatu ya wana wake wadarasan wote wananikubali sanaa kimapenzi hupenda kuja nakuniomba niwaelekeze vtu flan vya kmasomo, na mm huwa ckatai Lakin nikiwa katika kuwafundsha kutegwa kwingiiiiii af wengi wao wana kuwa wakifikiria mbaaali hapo ndipo wanapo niudhi,wengn wamentongoza kabsaa. Nimetokea kuwachukia sana wanawake ko Muda mwing nakaa na Boyz wnzang tukiwa katka story ila tukiwa katka kusoma huwa na kaa alone tuu, nimekuwa gumzo sanaa kwa upande wa wanawake an had first year tu wananfahamu kwa kuwa npo tofaut na wenzang, sijisifii ila ninaongea kilichopo. LICHA ya hayo mm ninasali dheheb fulan hv na huwa napenda sana kufunga na kuomba kulingana na shida zangu kwa MUNGU wangu,nmefuta contacts picha na kila k2 cha alie kuwa mpenz Wang tangu tuachane na mwez huu ameanza kuntafta kwa kunpigia na kuntumia text lakn cjawah kupokea wala kujb, ctak kujua lengo Lake nn kwan hata sms zake huwa anasalmia tu " mambo". Basi nikiona text yake tuuuuu hasra na kuwachukia wanawake znakuwa mara2. Naomben ushaur kimawazo nifanyaje ili nifikie malengo yang bla kuwaudh na kutoonysha hasra kwa wanawake? Pia nimepanga kutokuwa na mtu had ntapohtm masters yang ingal sasa n mwaka wa 2 wa degree yang kwa mtazamo wako nitawezaa
Unajipromotion haya changanya na za kwako
 
mamenrevy

JF-Expert Member
Jun 9, 2014
585
500
Wanakupenda sababu hawajajua hela hivyo wanakupenda sababu unajiweza kimasomo wewe ni desa. achana nao usilewe mapenzi utafeli alafu mwanamke sio mwenzio baada ya masomo miezi mitatu unakutana naye anadrive range wewe ndio kwanza hata suluari umeazima ukafanyie interview. kuwa mwangalifu wengine wao walianza michezo hiyo darasa la tatu watakupa ukimwi bule.
 
Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,685
2,000
Pole! Inawezekana una frustration. Ila ni vizuri kuweka mkazo kwenye masomo yako na kufunga na kuomba kama unavyofanya now!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom