Kuna diploma wa engineering wengi tu wamepata mkopo n wengne wamekosa pia... So naimani hata afya pia wapo walopata mkopo n kukosa pia km ww... Maana afya ni 1st priority then hizo engineering zinafuatiaHabari zenu wanajukwaa ..?? Napenda kuuliza kama kuna Diploma holder yoyote aliyejiunga na Bachelor kwa upande wa afya kapata mkopo mwaka huu maana naona kama tumekosa na kutengwa mwaka huu. Mimi ni muhanga pia. Tusaidiane wadau hata kwa mawazo
Kozi gani boss ..Mm nimepata tena mia
😱😀😀Wapo walopata na wapo walokosa na hiyo ndio maana ya maombi
900 itapendeza kwasababu unapohamia pahala unahitaji pahala pakukaa(dr louis)
[emoji75]Wapo walopata na wapo walokosa na hiyo ndio maana ya maombi
900 itapendeza kwasababu unapohamia pahala unahitaji pahala pakukaa(dr louis)