Jasho la kwapani linanitesa sana
Ukitembea kidogo tu, kama vile Bomba limefunguliwa koki mpaka mwisho.
Nini dawa yake wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu naomba msaada ni nini dawa ya kutokwa jasho kwapani. Yaani hili tatizo limekuwa linanisumbua sana, kila nikivaa tu kidogo nguo nikatoka kama dakika 12 tu tayari natokwa na jasho kali.
Naomba msaada katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app
ndug naomba msaada katika hili, niko na account yangu ya kawaida tu nimefungua crdb ila siku za karibuni nimepata wageni wangu wa njee ya nchii wamenipatia usd kias kama usd 2000. Sasa naomba kujuzwa je,naweza nkaweka hela USD katik account yangu au kuna taratibu nyingne za kuifanya acccount...
Mwenye nyimbo aliyoshirikishwa juma nature jina nimelisahau ila nakumbuka chorus
'Tutoe adhabu gani juu ya hawa wanaoturoga*2,
Kuwa wanaoturoga tunaamini ni shetani,
Mwanga anaetutupia majini ni jirani,
Naiombeni waungwana.
jamani naomba msaada how to restore back my fb account bcuz kuna mtu ameni-hack, naombeni ujuzi kidgo jinsi ya kuirejesha. pia itakuwa ni elimu pia kidgo kwa wale ambao wanahitaji kujua na kujifunza
Niaje Washkaji,, nimenunua Decoder ya DStv nyuma nimekuta USB port lakini inaoneka haiko active nimechomeka flash lakini hai-detect,nikajaribu kucheck Guide Book zake nikakuta inaniambia Not active. Sasa nashindwa kuelewa kama not Active kwanini wameweka Option ya usb na mimi nahitaji sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.