Tumbo kuunguruma, nini tatizo

Chunguza maji unayokunywa kapime choo tumia alben ikishindikana kunywa KIROBA minyoo na maumivu kwishnea piii
 
kapime kwanza hospitali figo lako je lipo sawa? kama hawajaona kitu utakuwa una mambo ya uchawi mwilini mwako. Kuhisi vitu vinatembea mwilini mwako itakuwa ni Dalili ya mambo ya uchawi huenda pia una shetani mbaya anaye kusmbuwa mwilini mwako. jichunguze pia unapo lala usiku huwa unaota ndoto za aina gani?
Mzizi mkavu kumbe upo nicheki inbox
 
Tumbo kuunguruma ni gesi ipo tumboni inaonyesha unakaa muda mrefu bila ya kula ndio maana tumbo lako linakuwa lianunguruma kwa mshindo. lakini sio madhara basi hiyo inakukera wee. Jambo la pili ni kwa kutopata haja kubwa inategemea ulaji wako wa chakula jaribu kubadilisha...
Duh!! Mkuu ugonjwa wa kikundu kama mwanaume anakufanyia upusuaji daktari wa jinsia gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!! Mkuu ugonjwa wa kikundu kama mwanaume anakufanyia upusuaji daktari wa jinsia gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
upasuaji hauzidi zaidi ya dakika 30 angalia huo uvimbe hapo.

BAWASIRI.jpg
 
Tumbo kuunguruma ni gesi ipo tumboni inaonyesha unakaa muda mrefu bila ya kula ndio maana tumbo lako linakuwa lianunguruma kwa mshindo. lakini sio madhara basi hiyo inakukera wee. Jambo la pili ni kwa kutopata haja kubwa inategemea ulaji wako wa chakula jaribu kubadilisha...
😂😂😂😂😂😂Futuru kikundu 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom