richie hassan
Member
- Jan 10, 2013
- 52
- 9
jamani naomba msaada how to restore back my fb account bcuz kuna mtu ameni-hack, naombeni ujuzi kidgo jinsi ya kuirejesha. pia itakuwa ni elimu pia kidgo kwa wale ambao wanahitaji kujua na kujifunza
kama unauhakika umehakiwa Pitia hapa [emoji116] [emoji116] [emoji116]jamani naomba msaada how to restore back my fb account bcuz kuna mtu ameni-hack, naombeni ujuzi kidgo jinsi ya kuirejesha. pia itakuwa ni elimu pia kidgo kwa wale ambao wanahitaji kujua na kujifunza