WARAKA WA WAZI KWA Mwigulu Nchemba Nape Moses Nnauye na Mtela Mwampamba
CCM 'INAANGUKA' KWA KUACHA MISINGI YAKE NA MALENGO YAKE YA KUANZISHWA.
Chama Cha Mapinduzi CCM kipo katika hata ya kuanguka kwa kuacha misingi yake ya kuanzshiswa na hasa suala la kutumia Rasilimali watu katika kujenga...
VIITIKIO VIPYA VYA CHAMA KUBWA CHADEMA: "CHANGE...............WITH CHADEMA"
Muongozaji anasema "CHANGE" .....Watanzania wapenda maendeleo wanaitikia "WITH CHADEMA" KWA KISWAHILI: "MABADILIKO.................NA CHADEMA" Muongozaji atasema MABADILIKO Inaweza kuwa kwenye Elimu, Afya, Miundombinu...

Kwelii wewe ni mburula, hata rangi tu unahoji, mbona vodacom ilitoka blue mpaka red, hii inamaana au upenzi 2, mbona simba ni nyekundu kwani wao wamemwaga damu acha kulishwa sumu think big
Hongera sana Waziri Dr. Harrison Mwakyembe kwani misimamo hii hatukuizoea kwenye serikari hiii...Mungu akupe maisha marefu ili uendeleee kuiongoza nchiii hiii ya Tanzania wanyonge..
Hivi chadema hakuna watu wenye uwezo, maana naona wanamuongelea esta wassira wakati kaingia juzi tu cdm, usilogwe na uongeaji mtabugi sana jamani tumuache huyu mdada akae hata miaka 5 tumjue vizuri.....tusikurupuke......cdm inawasomi wengi sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.