Gazet la Mwananchi: 'Pinda azima uasi'

Gazet la Mwananchi: 'Pinda azima uasi'

Ni lini nyie watu mtatambua kwamba nchi zetu za kiAfrika hakuna mtu anayefanya kazi kwa kuwatetea wengine? Kila mtu anapigania tumbo lake. Wewe kama unasubiri mtu akutetee utalalamika hadi siku utakayoingia kaburini.

Pambana, acha kulalamika.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wana mtwara wataandamana tena kisa gazeti limewakosea.
 
Huenda gazeti la Mwananchi linamaanisha UHAINI. Wananchi wa Mtwara walituhumiwa na Viongozi kuwa ni Wahaini, Wapuuzi na Wachoyo!
 
Wenzenu tushalishutukia hilo gazeti la Mwananchi siku nyingi ni la Chama cha Mapinduzi (CCM) hahahahahahah Amkeni:evil:
 
Back
Top Bottom