Hiyo survey umeifanyia wapi mkuu, ningefurahi unishirikishe kwa matokeo zaidi juu ya heshima kutamalaki nyumbani, unless wewe ni mwanamke unajipa tu credit
Haiwezekani kujadili siasa safi na uongozi bora ukaacha watu. Kwangu mimi hivi vitatu (watu, uongozi bora na siasa safi) ndo vya kujadiliwa. Watu, uongozi bora na siasa safi ndo vinavyopanga na kutumia ardhi. Siasa safi na uongozi bora vyote viwili vinategemea na watu.
Nilitarajia utakuja na taarifa za uhakika kuwa hiyo bajeti kwa ajili ya barabara tajwa haipo, kumbe na wewe huna uhakika?
Sent using Jamii Forums mobile app
We unasema binti, mbona ndo imekuwa kazi kwa wanawake waliolewa kiasi kwamba wanasahau hadi majukumu yao. Kuna hatari hizi smartphone zikajavunja ndoa sana tuendako.
Asante kwa swali lako na kwa hakika linafikirisha sana. Unajua siku hizi kuna terminologies kama collaboration, team work na partnership. Ni maneno mazuri sana lakini kwa mtazamo wangu yamechangia sana kulileta taifa hapa tulipo na matatizo yake. Ukiona wizi au uovu dhidi ya nchi yetu umefanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.