Zifahamu nyakati 5 kuu ambazo wanaume huchepuka kwa wingi

Random

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
791
740
Iwe ameoa au hajaoa lakini ana mwenza basi mwanamke uwe na machale sana nyakat hizi; Other factotrs are held constant.
1. Kipindi cha MP/hedhi
2. Kipindi chote cha ujauzito
3. Kipindi mmekosana au mmenuniana
4. Uwapo/awapo safarini
5. Kipato chake kikiongezeka
 
Iwe ameoa au hajaoa lkn ana mwenza bas mwanamke uwe na machale sana nyakat hizi; Other factotrs are held constant
1. Kipindi cha MP/hedhi
2. Kipindi chote cha ujauzito
3. Kipindi mmekosana au mmenuniana
4. Uwapo/awapo safarini
5. Kipato chake kikiongezeka
Namba 2 ukosea..hamna kipindi mwanamke anakua mtamu kama kipindi cha ujauzito..kipindi nalea mama mtt wangu tulikua active sana na tendo ilo adi kuchepuka nikasahau..
 
Namba 2 ukosea..hamna kipindi mwanamke anakua mtamu kama kipindi cha ujauzito..kipindi nalea mama mtt wangu tulikua active sana na tendo ilo adi kuchepuka nikasahau..
mara nyini majanaume yanachepuka kwenye kunyonyesha !kula mkitaka kukutaana kichanga kinalia ng'aaaaaaaa !bas wanaume wenye roho nyepesi huamua kuchepuka !na wanawake wengi hawanaga mzuka kbs na sex kipindi cha unyonyeshaji ! bas tafurani
 
Hiyo survey umeifanyia wapi mkuu, ningefurahi unishirikishe kwa matokeo zaidi juu ya heshima kutamalaki nyumbani, unless wewe ni mwanamke unajipa tu credit

mfano mie nipate hata kadeal ka lak 4 ka paap ukweli kitu cha kwanza nitawaza kwangu na familia yangu(i mean mume na wanangu) utawaza uifanyie maendeleo yeyote yale lakini sio mwanaume !unamuona busy kupigia marafiki kukutana madai wanachek mpira !kumbe ndo zinaishia hvyo!

hapa namaanisha kwa mwanamke mwenye akili na upeo mzuri
 
Iwe ameoa au hajaoa lkn ana mwenza bas mwanamke uwe na machale sana nyakat hizi; Other factotrs are held constant
1. Kipindi cha MP/hedhi
2. Kipindi chote cha ujauzito
3. Kipindi mmekosana au mmenuniana
4. Uwapo/awapo safarini
5. Kipato chake kikiongezeka
Kipindi cha ujauzito hapana, papuchi zinakuwa hot mwanume hawezi chepuka. Labda mwanamke akishazaa
 
Namba 2 labda kwa baadhi ya wanawake, lakini wengine huwa active sana.
 
Iwe ameoa au hajaoa lkn ana mwenza bas mwanamke uwe na machale sana nyakat hizi; Other factotrs are held constant
1. Kipindi cha MP/hedhi
2. Kipindi chote cha ujauzito
3. Kipindi mmekosana au mmenuniana
4. Uwapo/awapo safarini
5. Kipato chake kikiongezeka
Namba moja hadi nne ni sawa. Na ndio maana baadhi ya jamii na dini huruhusu mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu ya hayo mambo ya kimaumbile. Ila namba tano hiyo ni tabia tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom