Hii ndo inaitwa kubadili Gea Angani, mara baada ya kuona Sera Ya Viwanda ni Ngumu kuienda nayo Kichwa kichwa... Ilifika kipindi Waziri anabebeshwa lawama na mkuu kiasi kwamba Hafanyi kazi,.... Lakini Waziri alishajua ugumu wa Sera hiyo ya Viwanda!
Tunaweza sema Hii sera Ya Viwanda, Walikurupuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.