Uchaguzi Uingereza

Uchaguzi Uingereza

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
4,432
Reaction score
3,016
Kama unaishi United Kingdom kama mtanzania leo ni siku yako ya kupiga kura, kama unapiga kura ukimaliza rudi hapa kuleta mrejesho.

Utueleze nani form yake ya maombi na chama gani haikopokewa ?

Utueleze mawakala wa chama gani walio fukuzwa vituoni.

Utueleze jinsi ya jeshi la polisi linavyo shiriki kusimamia au kuharibu.

Uje utueleze jinsi tume ya uchaguzi inavyo fanya kazi kwa utaratibu mbaya au mzuri .

Usisahau ni chama gani umepigia kura and why?
 
Conservative Ndio habari ya mjini

Hao labor hawana tofauti na kina Mbowe wanapinga kila kitu
 
Nisharudi kuipigia Labour, yaani sijaona polisi kwenye kituo cha kupigia kura, hakuna foleni just 30 sec done.
Nasikia huko kupiga kura ni kitu ya lazima kama haukupiga kura ni vigumu kupata baadhi huduma ?tupe mrejesho
 
Nasikia huko kupiga kura ni kitu ya lazima kama haukupiga kura ni vigumu kupata baadhi huduma ?tupe mrejesho

Convertive wamechukua 364 majimbo for majority ndio waziri mkuu, Labour tumetupwa vibaya, huku SNP cha uscotish kuchukua 48 kutoka 35 mwaka 2017 na Labour 203

Unbelievable
 
Naona Safari ya Brexit imepamba moto, by January 31 2020, Jamaa watakuwa huru huria

Sent using Jamii Forums mobile app

Scotland huko kunafutuka, Waziri mkuu anataka kuitisha kura ya maoni ya kujitoa United Kingdom, hivyo ndivyo ninavyo ipenda democracy ya Uk , Boris kaambiwa sio ombi na wala Scotland haitaki kabisa siasa za Westminster, bunge lao Scotland litaamua hatua yao.
 
Nasikiliza BBC World Service wanashangaa Conservatives wamechukua mpaka Kensington.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wananchi wamefanya maamuzi magumu sana kuipigia conservative, hasa wa Labour, hivyo Boris hana budi kusikiliza vilio vya wananchi wake hasa walio mlengo wa kulia Labour, ana kazi ngumu ya kuliunganisha taifa
 
Boris Johnson tapeli tu, maneno mengi vitendo vichache.

Ataangukia pua baada ya watu kuona hawezi ku deliever walichotegemea zaidi ya Brexit.
 
Boris Johnson tapeli tu, maneno mengi vitendo vichache.

Ataangukia pua baada ya watu kuona hawezi ku deliever walichotegemea zaidi ya Brexit.
Na inavyoonekana Brexit tu, ndicho walichompendea hakuna zaidi ya hapo.
 
hivi kwa nin waingereza wanataka kujitoa umoja wa ulaya?marekani hana mkono wake hapo?
 
Back
Top Bottom