Nilivyomuona poch Leo kwa mam city bado sins uhakika kama ataweza kuna kuipa man u mafanikio... Ameelemewa sana kupita maelezo ni bahati tu man city wamescore 2 na sio 4
Zanzibar wala urojo tulikuwa tunacheza nao zaman kombe LA Muungano yan team tatu zilizoshika nafasi ya juu bara na visiwan zilikuwa zinakutana nakucheza ligi yao halafu bingwa anawakilisha nchi CAF nafasi ya pili anashiriki shirikisho... Wala urojo wazanzibar walikuwa wanapigwa kila mwaka mpaka...
Wazanaki acha inferiority complex we jamaaa.. Wazungu hawakuweza kumhujumu lenox lewis evander Tyson Mohammed Ally halafu Leo waje wamhujumu Wilder.. Embu angalia bondia wako kafeli wapi na nini arekebisha badala ya kuja na sababu uchwara... Ngumi ni mchezo wa wazi ambao kila kitu kipo...
Kwa sasa hakuna bondia wakumpiga fury hata huyo AJ akifanikiwa kurudisha mikanda yake atapigwaa vibaya sana kwa fury... Kiufupi pambano LA Leo fury alikuwa anamaliza muda mrefu ila akitaka atupe burudani mashabiki zake... Wilder pole sana huuwez mziki huu huyo fury amekomaa utazani sio mzungu...
Round ya 10 fury alimpa ngumi za uhakika Huyo wilder na akaenda chini Mara moja Mara nyingine alijishika katk kamba ili asidondoke kiukweli alikuwa kashapotea. Angemsikiliza daktari aliye ingia ulingoni round ya 7 kumshauri aache pengine angeokoa fuvu LA kichwa lililo pigwa vibaya round ya...
Kiukweli sikuona ni kwa namna gani fury atapigwa katk pambano hili LA tatu na wilder.. Kiukwel fury ni bondia aliyekamilika aisee... Katk pambano LA pili kati yao wilder alitoa visingizio vingi sana sasa Leo sijui atakuja na visingizio gani tena.. Nampenda fury nampenda sana anapigana aisee...
Mashabiki wenzangu wa man u mnanichekesha sana team ikishinda ni juhudi binafsi ya wachezaji na team ikifungwaa ni lawama kwa kocha.... Hahaaa embu mpeni respect kocha amefanya mabadiliko sahihi ya kumtoa pogba kuingia lingard kwan pogba alikuwa anacheza na jukwaa muda wote wa dakika 75 anacheza...
Team ilikuwa inashambuliwa na hao wrote walikuwa hawakabi inavyotakiwa ndio mana akaingia lingard na matic.. Na walipoingia hao uliona mashambulizi yalipungua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.