Recent content by Rhobi1961

  1. Rhobi1961

    Wanawake waliosoma Sheria (Law) ndio wanaoongoza kuwa 'single mothers' Tanzania

    [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] naona haumtakii mema mkuu.
  2. Rhobi1961

    Jamani naomba ushauri kuusu mapenzi..

    Ulimpa hela akakataa?? tuanzie hapo kwanza?
  3. Rhobi1961

    ECOWAS wabaini kemikali ya sumu Ikulu ya Gambia

    Huyo jamaa wasingekomaa kumbe asingeondoka kirahisi rahisi hivyo mpaka kufikia hatua hiyo!!!!!
  4. Rhobi1961

    TANESCO: Kumetokea hitilafu katika Kituo cha kupoza na kusambaza Umeme cha Ubungo (Gridi ya Taifa)

    Naona ni nchi nzima hata huku kahama pia hamna tokea saa 12am.
  5. Rhobi1961

    Ajira zilizositishwa zinataka kumuua mtoto wangu na BP

    Mkuu leo umebadilika kuwa mzee? mbona uliwahi kuleta uzi hapa ukiulizia kama unaweza kupata ufadhili chuo cha Kleruu ttc ngazi ya diploma ya ualimu?
  6. Rhobi1961

    Lowassa na wabunge wa kanda ya ziwa wafunika Kahama

    ccm wameshinda mkuu kwa kura 500+ dhidi ya ukawa 300+
  7. Rhobi1961

    Lowassa na wabunge wa kanda ya ziwa wafunika Kahama

    Mkuu mimi hata sina hamu kabisa na hawa watu.
  8. Rhobi1961

    Lowassa na wabunge wa kanda ya ziwa wafunika Kahama

    Mkuu kumbe unawajua hawa jamaa zetu wa kanda ya ziwa.
  9. Rhobi1961

    CHADEMA watafute mbinu mbadala, Lowassa hataweza kuleta mabadiliko

    Mkuu kwenye ule uzi wa Edward lowasa alipo kuwa kahama na mimi nilicoment nikawambia hakuna watu wanonko kama kanda ya ziwa, yaani kanda ya ziwa kabisa hapana aisee bora hata uwaelimishe watu wa kanda ya kati labda utapata hata kura 10 kuliko huko kwa ngosha.
  10. Rhobi1961

    In need of man suffering from infertility for a husband!

    Masharti yamebadika mkuu siku hizi
  11. Rhobi1961

    In need of man suffering from infertility for a husband!

    Mkuu na wewe umeelewa hivyo au?
  12. Rhobi1961

    In need of man suffering from infertility for a husband!

    Hii nayo kali mwanaume ambaye hana mbegu za kiume au mimi ndo sijaelewa, ngoja nirudie nisije kuwa nimekurupuka!!!
  13. Rhobi1961

    Hizi ni mbegu za mmea gani?

    Mkuu hizo mbegu nazijua kwa jina simbo hazina sumu yoyote utotoni tulizimeza sana. Labda kama ubishi na matusi ni sehemu ya maisha yako. Nashangaa sana msomi kama wewe bado unapanic na kutukana hovyo tu, wengine tuko kwenye huu mtandao tukiamini kabisa ni watu wazima na heshima zetu hatuna...
  14. Rhobi1961

    Hizi ni mbegu za mmea gani?

    Umeona hili ni jukwa la siasa unaleta uongo wako hapa???
Back
Top Bottom