Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Ni ushauri wangu tu kwa viongozi wa Chadema,nimekua nikisikia tetesi kwamba lowasa atagombea tena urais mwaka 2020,Chadema kama chama wanatakiwa Kutambua kwamba ccm imechokwa sana na wananchi lakini kitendo cha wao kuendelea kumkumbatia lowasa ni kuturudisha nyuma sana.
Ni ukweli usiopingika kwamba juku mitaani watu wengi hawamuamini lowasa,japo sijafanya research maalum lakini ukijaribu kufatilia utaligindua hilo,hasa wanawake na wale wapiga kula wasiofatilia sana mambo ya siasa,
Nawashauri chadema na viongozi wao wajitafakali upya na ikiwezekana hata Huyo mbowe wampige chini tu.
Watu hawana pa kuegemea kwa sababu ya huyo lowasa,kila mtu unae ongea nae anakwambia ccm wametuchosha lakini wapinzani hawaaminiki,watu wanoona ni bora waendelee kuchoshwa na ccm kuliko kuongozwa na watu wasio eleweka.
Chadema wanajua kabisa adui wa uchaguzi wetu ni tume ya uchaguzi na katiba mbovu ,na hivyo ndo vitu vimekuwa vikilalamikiwa na upinzani kila baada ya uchaguzi,lakini cha kushangaza uchaguzi ukiisha hakuna mtu anafanya jitiada za kurekebisha hayo mambo,viongozi wapo tu wanatoa matamko yasiyotekelezeka,nakuhamasisha maandamano yasokuwa na maana.
Nawashauri Chadema waamke ama la sivyo watwambia kama na wao ni mapandikizi ya ccm.
Baada ya Dr slaa kuondoka sikuhizi hata elimu ya uraia huku vijijini hakuna tena,matawi yote yaliisisiwa na Dr slaa yanakufa,watu pekee utakao wakuta kwenye hayo matawi ni wale wanaomendea kugombea uongozi flani yani watu wapo kimaslai tu,Katibu mkuu wa sasa nae yupo yupo tu.
Tunaitaka Chadema ya kipindi kile mtu akitoa tamko serikali wanatikisika kweli sio Chadema hii inayokuja na operesheni mbuzi zisizo tekelezeka,Mara oparesheni "Kata funua" Mara sijui oparesheni "ukuta" ujinga mtupu ,mnatuchosha.
Amnatucho shamandamano yenye tija maandamano ya kudai tume huru ya uchaguzi au maandamano ya kudai katiba Mpya muone kama hamtaugwa mkono na kila mpenda democrasia duniani.
Chadema na mbowe mnatuchosha isingekuwa tamaa zenu sahizi upinzani ungekuwa ikulu na haya mashida masimango,njaa,matusi na machungu yote tunayoyapata yasingekuwepo.