Wewe Mwarabu feki huoni aibu hiyo $75M ni nusu ya hela zilitumika kujenga hako kenu ka Arusha ama kawaida yenu kutoa kivumbi kwenye jicho la jirani wakadi kuna kijiki jichoni mwenu? Alafu kwa akili yako huwezi ona hiyo ya Morocco ni renovation wakati Talanta ni ujenzi from scratch?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.