Recent content by restusjaphet

  1. restusjaphet

    J.P Magufuli sio chaguo la Mungu

    Wew ndo chaguo la mungu au mbona mnakufuru jaman wakati tunajua kila mtu ni chaguo la mungu ndo maana unaishi. Mi najua wengi amumtaki magufulu so kama aumtaki chance ni moja tu kajiandishe upige kura kwa kiongozi mwingine. Sio unapiga kelele afalu kujiandikisha na kwenda kupiga kura unaona...
  2. restusjaphet

    Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

    Ni kwel asemayo bcoz hata ukiangalia wafungaji wa lig ya England na la liga ni tofaut bcoz wakat cristian yuko man united alikuwa hazid magol 36 kwa miaka yote aliyoitumikia timu hiyo but angalia kwanzia ametuwa la liga anafunga zaidi ya goli 45 na si ajabu so mi nadhan england kuna upizan...
  3. restusjaphet

    EPL: PFA Player of the Year Award

    Sahau kwa goalkeeper kuchukua tuzo coz huyo degea hata kweny kipa anayeongoza kwa clean sheets uingereza hayupo anaogoza foster sasa wew unataka kumlinganisha goalkeepers na kina kane, hazard, costa, sanchez acha kabisa
  4. restusjaphet

    Kuelekea Pambano lake dhidi ya Floyd Mayweather, Manny Pacquiao aleta Headline Mpya! !

    May weather. Lazima apigwe na huyu mphilipino
  5. restusjaphet

    Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

    Tunaelekea wap wanaume
Back
Top Bottom