Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

wembeee

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
2,708
1,353
Kocha aiseishuwa maneno akiwa kwenye interview na waandishi wa habari kwa mara nyingine tena ametoa mawazo yake kuhusu ligi
mbili maarufu EPL na La Liga.

Jose akiwa kwenye interview na talksport alisema kwamba kuna utofauti mkubwa kati ya La Liga na EPL kwasababu yeye ana uzoefu na ligi zote mbili.

Amesema kwamba mambo yangekua tofauti kwa Barcelona na Real Madrid kama wangekua kwenye ligi ya uingereza.
Nilikua Spain lakini sikui-ejoy kwasababu nilishinda ubingwa kwa rekodi ya points 100 na magoli 121. Mambo ni tofauti hapa England
inabidi uwe tayari kwa kila mechi.

Utayari wako sio wa kimchezo tu, bali hata kiakili. Sidhani kama wangezea kutawala EPL kama La Liga
 
Ni kwel asemayo bcoz hata ukiangalia wafungaji wa lig ya England na la liga ni tofaut bcoz wakat cristian yuko man united alikuwa hazid magol 36 kwa miaka yote aliyoitumikia timu hiyo but angalia kwanzia ametuwa la liga anafunga zaidi ya goli 45 na si ajabu so mi nadhan england kuna upizan mkubwa kuliko la liga
 
Kiwewe cha kupigwa bao tatu hicho. Sasa sijui anatoa mifano gani! Hata Gormahia ya Kenya ukiiweka kwenye ligi ya Mozambique itakuwa na wakati mgumu.
 
Hivi EPL kuna timu za kuwafunga Barcelona, Real Madrid na Atletico Madrid?
 
Ndo maana kuna mashindano ya kukutanisha teams za league zote, yaani wababe wa league zote Ulaya wanakutana katika league inayoitwa UEFA CHAMPIONS LEAGUE, hapo mnasemaje wadau?

Mkuu mimi nakwambia Atletico Madrid asingepangwa na na Real Madrid tungeshuhudia hili Nusu final ni Spain timu 3. Na kombe lingebaki Spain.
 
Ni kwel asemayo bcoz hata ukiangalia wafungaji wa lig ya England na la liga ni tofaut bcoz wakat cristian yuko man united alikuwa hazid magol 36 kwa miaka yote aliyoitumikia timu hiyo but angalia kwanzia ametuwa la liga anafunga zaidi ya goli 45 na si ajabu so mi nadhan england kuna upizan mkubwa kuliko la liga

Mimi sio shabiki wa Ronaldo ila ngoja niseme kama ifuatavyo. Usilinganishe Man U na Real. Kule kaenda kukutana na Mafundi wenzie na yeye ndo anapewa jukumu la kufunga zaidi kuliko hata Benzema. Kule Man U hakupewa jukumu la kufunga zaidi sababu ya Muingereza wao Rooney, wangempa basi hata Rooney mngemuona garasa katika kufunga, we si unamuona Benzema? Benzema sio Garasa ila yeye anakuwa mtu wa assist mda mwingine kwa Ronaldo, wakati ilibidi Ronaldo ndo amsaidie Benzema.
 
Hivi EPL kuna timu za kuwafunga Barcelona, Real Madrid na Atletico Madrid?

Hivi unajua kila weekend epl kuna big match ??
kitu ambacho Ozil alikiri kwamba uingereza kila mechi ni kama fainali
kwa wenzetu huko kila weekend tunasubiri magoli ya kikapu kama sio barcelona ni Madrid
huku juzi Southampton kampiga villa kifusi halafu huyu villa alimfunga man u ambae aliifunga southampton
timu kama swansea inazifunga home and away club za arsenal na man u huoni kitu cha ajabu ?
ni bora kukutana na swansea kuliko na stoke city sio mpira ila ni vita
hiyo ligi yenu ubingwa unaamuliwa kwa mechi mbili ??
niache kidogo
 
Huyo nae tushamzoea na maneno yake ya Ngomani,hizo timu za England mbona zikikutana na timu za Spain kwenye Mashindano ya UEFA zinapigwa kipigo cha Mbwa mwizi kila mwaka?

ungefatilia vizuri hiyo interview ungeweza kupata picha ya alicho kisema,yeye kasema kuwa EPL kila match kwako ni ngumu huna muda wa ku relax akazungumzia alijaribu kucheza match moja kwa kurelax ambayo ilikuwa nikombe la FA dhidi ya Bradford akipigwa 4-2,kazungumza mengi jinsi hata mtu anae ongoza league anavyo struggle kuretain point alizo nazo
 
Ni kwel asemayo bcoz hata ukiangalia wafungaji wa lig ya England na la liga ni tofaut bcoz wakat cristian yuko man united alikuwa hazid magol 36 kwa miaka yote aliyoitumikia timu hiyo but angalia kwanzia ametuwa la liga anafunga zaidi ya goli 45 na si ajabu so mi nadhan england kuna upizan mkubwa kuliko la liga

Hakuna kitu kama hicho Ronaldo wakati yupo man-u kiwango kilikuwa hakijawa kama alivyo sasa....Na kufunga magoli mengi ni viwango vyao na ujuzi wao hao kina mess na ronaldo.... make wao ndo wanaofunga na kuongoza ligi na ndo hao hao wachezaji bora.
 
wewe muongoooo tena muongo mkubwa
ronaldo huyu kaisha hata dribbling hana kama alivyokua akimkimbiza akina ashley cole tuishie hapa tusihamishe mjadala
 
vip kuhusu alivyomzungumzia Messi mbona na hilo hujalisema
 
zipo zote ambazo ziko kwenye top 5 zinawafunga Barcelona na Madrid

kama timu gani mkuu ambayo inaweza mchapa madrid pia ikampiga atletico af imfunge na barca ni ipi hiyo ili nijiunge nayo
 
Stoke City, Swansea, Manchester United, Arsenal na wengine wote ni timu mbovu period. Kwahiyo wagonjwa wakikutana we unategemea nini? Hizo timu nilizozitaja hapo juu, achana na Real Madrid, Barca, Atleti au Valencia, hakuna hata moja inayoweza kusimama na Malaga, sasa hizi kelele za Uingereza tumeshazizoea. Ushauri kwa Morinho, anatakiwa afundishe mpira kunyanyua kiwango cha soka la England, maneno maneno hawaachie kina Khadija Kopa wao ndio wanaolipwa kwa kazi hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom