Kwa sisi wakristo na waislamu tuliaminishwa na Mapadre,Wachungaji,Masheikh kwamba mtu fulani ndio chaguo la Mungu.
Kwa mantiki hiyo basi Dr John sio chaguo la Mungu.Je ni kitu gani kitatupata watanzania kwa kuwa na raisi ambae sie chaguo la Mungu?
Tujiulize na tujijibu wenyewe juu ya hili swala maana nahisi laana ya Mungu inatujia according to maneno ya Viongozi wetu wa dini kwa kukiuka mapenzi yake ya kuchagua mtu sie

Hakuna chaguo la Mungu ndani ya CCM kwani kimetawaliwa na wanamfumo ambao ni Wezi,wauaji,Mafisadi na Wazinzi vitu ambavyo ni kinyume na Amri za Mungu
Kwa sisi wakristo na waislamu tuliaminishwa na Mapadre,Wachungaji,Masheikh kwamba mtu fulani ndio chaguo la Mungu.
Kwa mantiki hiyo basi Dr John sio chaguo la Mungu.Je ni kitu gani kitatupata watanzania kwa kuwa na raisi ambae sie chaguo la Mungu?
Tujiulize na tujijibu wenyewe juu ya hili swala maana nahisi laana ya Mungu inatujia according to maneno ya Viongozi wetu wa dini kwa kukiuka mapenzi yake ya kuchagua mtu sie
Mijitu mingine bana yani ww hata ukielimishwa hutaelewa nakuacha kama ulivyo maaana nmeandika kitu kirahisi halafu huelewiwewe ni hovyo zaidi ya hovyo kabisa,kwa nini?
1,kwanza haufai wewe unaendekeza udini kwenye siasa
2,zipi ni sababu za kusema Magufuli sio chaguo la Mungu?
3,je unajua kuwa kikwete yeye alipatikana kwa njia ya makundi na ni tofauti na MAGUFLI alivyopatikana?
laana unayoisema itakupata wewe ambaye unatenda zambi ya kusema sisi wakristo na waislamu ukimanisha watanzania wote kumbe ni unafiki wako na kujifanya unatusemea sisi,hovyo kabisa
Samahani mkuu ili liwe chaguo la Mungu ULITAKA UPATE ISHARA GANI ULIYOKUWA UMEAMBIWA NA VIONGOZI WAKO WA DINI? AU NI NANI AMBAYE WEWE NA VIONGOZI WAKEO WA DINI MLIAMBIWA NA MUNGU WENU ATAKUWA RAIS KISHA AKASHINDWA KUITIMIZA AHADI YAKE NISAIDIE MKUU MAANA MAMBO MENGINE MNAYOLETA HAPA YANATATANISHA NA UKIZINGATIA NJIA NA MAWAZO YA MUNGU SIYO ALIYO NAYO BINADAMU. AU KULIKUWA NA ISHARA YA MOSHI MWEUSI BADALA YA MOSHI MWEUPE?
Hivi nyie ni watu gani msioelewa hata vitu virahisi kama hiki nilichoandika kwakwel mm nasikitika sanaWew ndo chaguo la mungu au mbona mnakufuru jaman wakati tunajua kila mtu ni chaguo la mungu ndo maana unaishi. Mi najua wengi amumtaki magufulu so kama aumtaki chance ni moja tu kajiandishe upige kura kwa kiongozi mwingine. Sio unapiga kelele afalu kujiandikisha na kwenda kupiga kura unaona unapoteza muda, alafu akiwa rais mtaanza kulalamika eti sio chaguo la mungu
Mijitu mingine bana yani ww hata ukielimishwa hutaelewa nakuacha kama ulivyo maaana nmeandika kitu kirahisi halafu huelewi
Kama kitu hukielewi kaa kimya sio lazima ukoment nduguSamahani mkuu ili liwe chaguo la Mungu ULITAKA UPATE ISHARA GANI ULIYOKUWA UMEAMBIWA NA VIONGOZI WAKO WA DINI? AU NI NANI AMBAYE WEWE NA VIONGOZI WAKEO WA DINI MLIAMBIWA NA MUNGU WENU ATAKUWA RAIS KISHA AKASHINDWA KUITIMIZA AHADI YAKE NISAIDIE MKUU MAANA MAMBO MENGINE MNAYOLETA HAPA YANATATANISHA NA UKIZINGATIA NJIA NA MAWAZO YA MUNGU SIYO ALIYO NAYO BINADAMU. AU KULIKUWA NA ISHARA YA MOSHI MWEUSI BADALA YA MOSHI MWEUPE?
Hivi nyie ni watu gani msioelewa hata vitu virahisi kama hiki nilichoandika kwakwel mm nasikitika sana
Kama kitu hukielewi kaa kimya sio lazima ukoment ndugu